Polisi wa Iran wafunga ofisi ya Turkish Airlines kufuatia wafanyakazi wake wa kike kukataa kuvaa hijabu

Huu ni ujuha wa kiwango cha lami
 
Mungu haishi kwenye mavazi
 
Duuuh
 
Tamaduni yako ndio nembo yako usijikatae iwe tamaduni mbaya au nzuri ndio wewe hakuna mwingine na wengine watakuheshimu na kukuona hivo ndio maana wamasai Wana attract watu mbali mbali kuja kujifunza utamaduni wao! Sio mnajifanya wazungu badae watoto wenu wakianza kusukumwa makimba ndio mnaanza kusema shida maadili hamna NK,wazungu waharibifu Tu wa mifumo ya maisha ya watu na kuisha haribikiwa huwaoni tena
 
Lakini mbona kuna baadhi ya waumini wanapinga Wafaransa wanapotetea tamaduni zao? Maana Wafaransa hawataki Hijab nchini kwao, au hii imekaaje?
 
Lakini mbona kuna baadhi ya waumini wanapinga Wafaransa wanapotetea tamaduni zao? Maana Wafaransa hawataki Hijab nchini kwao, au hii imekaaje?
Na wao wako sahihi kuna TOFAUTI ya hijabu na niqab,niqab ni Ile ya kufunika mpaka uso Kwa usalama wa watu sio sawa
 
Wewe usitake kutudanganya na fahamu kwamba wengine tuna akili kukuzidi mbali sana na hata umri vilevile nina uhakika nakuzidi.

Nguo au mavazi sio kinga ya kumfanya mtu asijihusishe na utendaji wa dhambi kwa sababu dhambi huanzia moyoni na nguo ya huko hata mhusika mwenyewe hajui ina fananaje.

Ukiona wanaosumbuka na mambo ya mavazi ya watu ujue hawamtumikii Mungu wa ukweli bali miungu feki au ni tamaduni zao tu. Hakuna Mungu anayehangaika na mavazi ya watu wakati ni huyo huyo Mungu ndio aliumba watu haohao bila mavazi wakati alikuwa na uwezo wa kuwaumba na mavazi kwa sababu hakuna kinacho mshinda.

Hakuna binadamu yeyote mwenye akili timamu anayeweza kuamka nyumbani kwake asubuhi na akasahau kuvaa nguo na akatoka nje, hakuna. Hivyo watu acheni unafiki kila mtu avae inavyompendezea yeye. Period.
 
Mambo mengine naona ni programming ya kichwa tu,,,mbona enzi hizo wazee wetu walikua wanafunika tu kingozi kwa mbele na nyuma maisha yanaenda na walikua wanaheshimiana kuliko sie ambao tunavaa nguo





Kama uzinzi upo kwenye damu yako hata mtu avae magunia kuanzia juu mpaka chini hali itakua ni ileile tu
 
Hivyo watu acheni unafiki kila mtu avae inavyompendezea yeye. Period
Halafu ndio unajisifu kuwazidi watu akili na umri
Sikutukani ila nakwambia ukweli kama unajiona una akili unatakiwa ujitathmini kama hizo akili unazo kweli ama laah
Na kama kweli una umri mkubwa inatakiwa ujitathmini huo ukubwa wa umri wako umekupa faida gani kwenye kuchambua majambo madogo tu kama hayo
Sasa ndio mfano wakubaliwe watu kila sehemu wavae wanavyotaka unadhani watu wataishije
Unajiona kama unaakili vile ila kimsingi eidha huna akili ama akili unazo ila hazijakomaa
Hilo suala la kuachia watu wafanye wanavyotaka sio tu kwenye mavazi haliwezi likatokea popote pale duniani
Leo hii mtu kwakua anapenda kutokuvaa nguo aende mbele ya waandishi wa habari anahutubia taifa yupo uchi au kavaa chupi tu apigiwe makofi kwakua ndio kaamua
Kama unajiona una akili jitathmini upya mzeee
 
We dogo siku ukinizidi akili mimi ujuwe huta abudu binadamu, kuhusu umri pia hunipiti mimi, mwenzako na kula pension nipo nyumbani nimestarehe.

We endelea kuota hukatazwi, kuhusu mavazi yanachangia sana, wewe nenda kanisani umevaa chupi basi. au siunasema imani ipo moyoni tembea uchi basi.

We akili zako zimepinda ikiwa unadhani imani ni moyoni tu, bila matendo mazuri na kuvaa mavazi ya heshima.

We mfano umuone askofu kavaa kama vile vijana wa siku hizi kashusha suruali chini ya matako yake, utasema nini hapo.

Pia fatilia nilicho ongea mimi usiwe unadandia kujibu tu, nilicho ongea Hijabu ni kinga, na kutaka kuanza mwendo mzuri wa dini hio ni good step walivyo fanya Iran

Hio unavaa hijabu afu unafanya mabaya nikama vile una imani lakini unatembea uchi, hio ni Partners in crime 😄
 
Haya uliyoandika mbona hayafanani na mada iliyopo ya Irani hijabu zao na wanawake wa kituruki

Nyinyi wagalatia mnashida sana kudanganywa mdanganywe na Wazungu chuki zenu mnawapelekea waislam
Christianity hatuna haoja za kuchukia waislam ila nyie ndio mnamafundisho ya kutuchukia non muslim
Sasa kwa kuwa aya zenu zipo contradict wapo wasio chukia wakristo na wapo wanaopuuzia uislam wa chuki. Quran Allah anachuki dhidi ya non muslim Mtume wenu alifikia hadi kuwaambai msiwe na urafiki nasi... jaribuni kuwakemea mashehe wenu wa Dawa maana wameacha kuwafundisheni uislam katika mema wao wanawafundisha chuki dhidi yenu ndio maana humu JF waislam kindaki ndaki kila coment ni chuki tu imefika hatua hadi tunawajibu japo hatuwatusi sisi tunawaonesha mlivyo according to Quran and Hadith... Unajua Mtume wenu alimrisha Wakristo walipe kadi ili waendelee kuwa Wakristo na wakishindwa kulipa wasalimu amri na kuwa watumwa wa Allah au wauliwe.. Tafsiri ya neno Islam ni kusalimu amri na sio Dini... Sasa mwadhania tukiwaonesha ukweli kama huu mnasema ni chuki kwani huwa hamsoni Uislam upoje?
Mlivyo wajinga lile sanamu la bikira Maria mlioliweka kanisani mmelivisha hijabu alafu nyinyi hamtaki hijabu Kwa kudanganywa na Wazungu
Kwanza jifunze ukristo ni nini na wanaamini nini? na kama huelewi soma tu Quran utatukuta na Allah kasema tunaenda peponi..

Ukiona sanamu au kiremba kafuatilia sababu na dhumuni na nani alianzisha.. siku ukikuta kitu unakuwa unaelewa na kuelewesha watu... Christianity ni watu wanaofuata mafundisho na matendo aliyofundisha Yesu yaliyoitwa Good news au Injil au Gospel so ukiona sanamu na unajua mafundisho jibu utapata kama kosa au lah Kuna community za aina nyingi na wengine wameamua kufuata wanavyojua au kuelewa maandiko..

Mtume wenu aliwatabilia uislam utagawanyika sector 73 na sector moja tu ndio itaenda peponi zingine zitaenda hell. ila kaongopa kwani uislam umeganyika hadi miaka hii sector zaidi ya elfu moja
 
Uturuki kitovu cha ukristo hao ottoman walikuwa wavamiz tu baada ya emperor basil 2 mambo yakageuka had ottoman wakatawala kote
 
Comment bora kwenye huu uzi nyingine zote zime base kwenye udini
 
Sawa ila polisi wakamatie hapo hapo usiteseke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…