Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Waturuki wengi walikua wakristo,,,,ilipotokea bifu la katoliki ya magharibi(roma) vs katoliki ya mashariki (orthodox), waroma wakaona bora kuwasapot waislam ili utawala wa kanisa la mashariki uanguke wakose wote. Na makao makuu ya orthodox yalikua hapo Istanbul, waliposhindwa mapambano ndo waislam wakachukua utawala wa uturuki, ndo maana hao jamaa wapo kama wazungu kuliko waarabuDuh! Vyuma vimeumana. Shida waturuki wanajihisi Westerners zaidi kuliko Middle Easterners. Pamoja na kuwa chimbuko la himaya kuu ya kidini ya Ottoman hawajawahi kupenda utamaduni wa uvaaji wa mashariki ya kati. Ngoja tuone kipi chuma cha pua kati ya wawili hao.