Polisi wa Iran wafunga ofisi ya Turkish Airlines kufuatia wafanyakazi wake wa kike kukataa kuvaa hijabu

Polisi wa Iran wafunga ofisi ya Turkish Airlines kufuatia wafanyakazi wake wa kike kukataa kuvaa hijabu

Duh! Vyuma vimeumana. Shida waturuki wanajihisi Westerners zaidi kuliko Middle Easterners. Pamoja na kuwa chimbuko la himaya kuu ya kidini ya Ottoman hawajawahi kupenda utamaduni wa uvaaji wa mashariki ya kati. Ngoja tuone kipi chuma cha pua kati ya wawili hao.
Waturuki wengi walikua wakristo,,,,ilipotokea bifu la katoliki ya magharibi(roma) vs katoliki ya mashariki (orthodox), waroma wakaona bora kuwasapot waislam ili utawala wa kanisa la mashariki uanguke wakose wote. Na makao makuu ya orthodox yalikua hapo Istanbul, waliposhindwa mapambano ndo waislam wakachukua utawala wa uturuki, ndo maana hao jamaa wapo kama wazungu kuliko waarabu
 
Haya uliyoandika mbona hayafanani na mada iliyopo ya Irani hijabu zao na wanawake wa kituruki

Nyinyi wagalatia mnashida sana kudanganywa mdanganywe na Wazungu chuki zenu mnawapelekea waislam

Mlivyo wajinga lile sanamu la bikira Maria mlioliweka kanisani mmelivisha hijabu alafu nyinyi hamtaki hijabu Kwa kudanganywa na Wazungu
Kwahio hijabu ni vazi la kidini au la tamaduni za watu huko
 
Hata Wananchi wengi zaidi wa nchini Iran kwenyewe hawakubaliani na misimamo ya kidini isiyofaa ambayo inachukuliwa na Watawala wa nchi hiyo.
Je, Sasa hao Wananchi wa Iran ambao wanapingana na misimamo ya kidini ya watawala wa huko wamekuwa ni Raia wa nchi za Magharibi??
Mkuu Iran upo ushawishi mwingi sana kutoka magharibi wanashawishiwa ili waishi kimagharibi lakini Serikali ya Iran inapambana na kila garama kuutokomeza umagaribi, Iran ni nchi ya kiislam ukitaka utafata hutaki utafat.

Nyinyi huko kwenu mulifika Beijing kudai haki zenu, sasa katika uislamu haki za za kila mtu zipo katika kitabu kitakatifu Quran na simulizi za Rasulu s.a.w
 
Mimi nimeridhika na maisha yalivyo Tanganyika wewe ambaye huridhiki unatamani Tanzania iwe kama Iran ndie uhamie Iran au Gaza kwa nduguzo Hamas ukalipuliwe na Netanyahu huko
Alokwambia sijaridhika na maisha ya tanzania nani
Tanzania ishini tu mnavyotaka mzee hilo juu yenu
Na Iran waachwe waishi wanavyotaka hilo juu yao
 
Niambieni kama wanawake wenye hijabu huolewa wakiwa mabikira lasivyo vyote ni unafiki.
Hijabu ni vazi tu halina uhusiano na ubikira .Yasikutishe ohh nataka kuoa mwanamke anayejistiri na hijabu .Utakuja pata mshtuko wa mwaka na kupata pressure bure kukuta ana shimo kubwa wazi kama shimo la Jehanamu au la ngorongoro crater alishabikiriwa siku nyingi na kushughulikiwa mara kwa mara na wanaume tofauti tofauti wenye marungu ya kila saizi small,medium , large na largest

Vizuri mtu ajiandae kisaikolokia asije oa kwa kigezo cha kuvaa nguo za kujistri anasitiri vingi na vibaya vikiwemo
 
Safi sana wacha wakamatilie hapo hapo kila nchi ina sheria zake
Biashara za kimataifa hazitaki hayo

Je nchi za kiislamu wakiambiwa ndege zao lazima marubani na wahudumu wawe mashoga na kuvaa nguo za kishoga kwenye nchi zao sababu kwao wanaamini ushoga ni sahihi?

Kuna standards za kimataifa
Turkish airline ni ndege ya kimataifa

Wengi hawawezi panda Iran Airways sababu hawana imani nazo service nk Helicopter tu iliua Raisi wa nchi nani apande ndege ya kimataifa ya Iran Airways? Ambayo mfano kapanda myahudi au mmarekani raia mwema tu wajitoa mhanga waweza kujilipua angani au kulipua hiyo ndege ili waue huyo yahudi au mmarekani yuko ndani ya ndege

Una mawazo duni sana
 
Hijabu ni vazi tu halina uhusiano na ubikira .Yasikutishe ohh nataka kuoa mwanamke anayejistiri na hijabu .Utakuja pata mshtuko wa mwaka na kupata pressure bure kukuta ana shimo kubwa wazi kama shimo la Jehanamu au la ngorongoro crater alishabikiriwa siku nyingi na kushughulikiwa mara kwa mara na wanaume tofauti tofauti wenye marungu ya kila saizi small,medium , large na largest

Vizuri mtu ajiandae kisaikolokia asije oa kwa kigezo cha kuvaa nguo za kujistri anasitiri vingi na vibaya vikiwemo
Mtu aliye lelewa kwa adabu hawezi kusema uchi wa mwanamke shimo.

Mimi nadhani we umewakosa tu hao wavaa hijabu, na kama uliwapata hao sio wavaa hijabu, hao ni ma fashion show

Hijabu mana yake anajikinga na machafu, sa avae hijab afu akupe mwili wake, huyo lazima atakuwa ni
sex actress 😄
 
Mtu aliye lelewa kwa adabu hawezi kusema uchi wa mwanamke shimo.

Mimi nadhani we umewakosa tu hao wavaa hijabu, na kama uliwapata hao sio wavaa hijabu, hao ni ma fashion show

Hijabu mana yake anajikinga na machafu, sa avae hijab afu akupe mwili wake, huyo lazima atakuwa ni actress wa sex 😄
Nenda mkoa wowote Tanzania wenye waislamu wengi mikoa yote ya Pwani na Zanzibar waulize waislamu wanaume uzoefu wao au vijana wa kiislamu waliooa wangapu walikutana na hao wavaa hijabu bikira

Kwa nini tuandikie mate wakati wino upo

Hijabu kitu gani? Wengine wanavaa wana ukimwi madonda mwili mzima anavaa ninja hadi soksi miguuni na mikononi ukijichanganya ukaoa utashangaa mbele ya safari umeuziwa mbuzi kwenye gunia ukidhani mbuz8 kumbe sio mbuzi ni mbwa
 
Biashara za kimataifa hazitaki hayo

Je nchi za kiislamu wakiambiwa ndege zao lazima marubani na wahudumu wawe mashoga na kuvaa nguo za kishoga kwenye nchi zao sababu kwao wanaamini ushoga ni sahihi?

Kuna standards za kimataifa
Turkish airline ni ndege ya kimataifa

Wengi hawawezi panda Iran Airways sababu hawana imani nazo service nk Helicopter tu iliua Raisi wa nchi nani apande ndege ya kimataifa ya Iran Airways? Ambayo mfano kapanda myahudi au mmarekani raia mwema tu wajitoa mhanga waweza kujilipua angani au kulipua hiyo ndege ili waue huyo yahudi au mmarekani yuko ndani ya ndege

Una mawazo duni sana
Hijabu ni nguo ya heshima, ushoga ni ukosefu wa adabu, ushoga ni lana wakati hijabu ni pepo umeona tofauti.

Afu nchi ambazo zikitoa amri lazima mapilot wote wawe mashoga kwenda kwao, unatafute routes za adabu hio una cancel kabisa.
 
Back
Top Bottom