Polisi wa Jimbo la Florida US wawapigia magoti waandamanaji, Polisi Tanzania ina la kujifunza

Maanina chezea kazi usichezee mshahara.

Haya waende mwendo wa bata hao police.
 
Wenzetu huko sio waoga hata kidogo ndio misingi inayofanya mamlaka kuwa na adabu, sisi huku mamlaka zinafanya uonevu sababu ya uwoga wa watu, hata huku watu wasingekuwa waoga mamlaka zingekuwa na adabu
 
Nafsi inawasuta,Floyd kama mhalifu alistahili kuadhibiwa,lakini walichokifanya ni zaidi ya adhabu,wana mbinu nyingi sana wanazijua za kuadhibu lakini walichokifanya was beyond human torture,that was a deliberate killing.Nina uhakika mahakama itatoa adhabu inayostahili kwa wahusika,na hili walilofanya Polisi wa Florida linatakiwa lifanywe na Polisi wa states nyingine zote ili kupunguza machungu na hasira walizonazo blacks...
 
watatoa adhabu ila sio inayostahili amini nakwambia walishawahi kumuachia polisi aloua kwaujinga kama huo

Polisi wa US wanawaonea sana watu weusi nasio wanawaonea tu yaani wanauw sanaaaa.....
 
Sio blacks pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…