mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Hapo lazima waandamanaji waishiwe nguvu..
NI HEKIMA,BUSARA NA USTAARABU.
NI HEKIMA,BUSARA NA USTAARABU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawashoot sana tu .... Hili tukio ni moja kati ya mengi tu ambayo hayajaonekana.watatoa adhabu ila sio inayostahili amini nakwambia walishawahi kumuachia polisi aloua kwaujinga kama huo
Polisi wa US wanawaonea sana watu weusi nasio wanawaonea tu yaani wanauw sanaaaa.....
Uchungu ni wa race zote thus wote wameshiriki kutoa hisia zao.Hata ukisoma Twitter,fb ,na others social media za race zingine karibu zote duniani wamelaani mauaji hayo.We are global village.Hata Kama ameuliwa mchina,mhindi,nk stiil we are global villageNafsi inawasuta,Floyd kama mhalifu alistahili kuadhibiwa,lakini walichokifanya ni zaidi ya adhabu,wana mbinu nyingi sana wanazijua za kuadhibu lakini walichokifanya was beyond human torture,that was a deliberate killing.Nina uhakika mahakama itatoa adhabu inayostahili kwa wahusika,na hili walilofanya Polisi wa Florida linatakiwa lifanywe na Polisi wa states nyingine zote ili kupunguza machungu na hasira walizonazo blacks...
Sense of humanity.Kutumia akili kutatua tatizoHapo lazima waandamanaji waishiwe nguvu..
NI HEKIMA,BUSARA NA USTAARABU.
Ben saanane yuko wapi?Hao ni Mabeberu wametesa sana mtu mweusi
Sense of humanity.Kutumia akili kutatua tatizo
Kupanga ni Kuchagua Mkuu, wewe ukiwaona jua la kufanya.Police wa Jimbo la Florida nchini US wameweka silaha zao chini na wakapiga magoti mbele ya waandamanaji kuwaomba msamaha, wamekubali kubeba lawama kwa kifo cha Floyd. Humanity restored.
kabisa MKUU.....Wanawashoot sana tu .... Hili tukio ni moja kati ya mengi tu ambayo hayajaonekana.
Hao ni Mabeberu wametesa sana mtu mweusi
bunkergateHuku kibabu Trump na uoga wake kikiwa kimeshafichwa ardhini huko White house huku kiki endelea ku tweet ukuda wake.
Kije kiombe msamaha nacho.
... kwani Trump ndio kamtuma yule askari kuua?Mwaka huu Trampo shughuli anayo
[emoji23]Mwingine kaugonjwa kadogo tu amekimbilia kijiji kwake kujifungia kwa siku 50.
Kila kitu kupitia uoga wa wananchi lakini si lolote si chochote panapo nguvu ya umma ikiamua kupinga uovuBila shaka ni HEKIMA ya juu.
Maana kama polisi wangeamua kutumia nguvu.
Mambo yangezidi magumu zaidi.
Binafsi yangu NAWAPONGEZA hao polisi.
mapolisi wengi na majeshi uwa wanaamini wakivaa hayo magwanda wao ndo kila kitu.
Unaposema huku kuna mashetani nashindwa kujua kama upo sahihi. Hivi chanzo cha hayo maandamano na machafuko ni nini kama sio huohuo ushetani wa hao polisi unaotaka kuwasifia? Halafu kumbuka hao polisi wa Marekani hawajafanya tukio moja tu la wiki iliyopita, wamefanya matukio mengi sana yanayowaumiza watu weusi. Unaweza pia kurejea kauli za Rais Trump kwenye vifo vya Corona jinsi zinavyoonyesha ubaguzi waziwazi.Huku hamna polisi, bali kuna mashetani wanaotegemea kula kwa hisani ya watawala.
Wanawadanganya watu weusi. Acha wanyooshwe na raia. Kutesa kwa zamuMaanina chezea kazi usichezee mshahara.
Haya waende mwendo wa bata hao police.
polisi wa Tanzania hawawezi kufanya hivi kwa vile hawajawahi kushikishwa adabu na wananchi. hii challenge yako ielekezwe zaidi kwa wananchi kuliko kwa polisi kwani wao (polisi) hawana cha kupoteza!Police wa Jimbo la Florida nchini US wameweka silaha zao chini na wakapiga magoti mbele ya waandamanaji kuwaomba msamaha, wamekubali kubeba lawama kwa kifo cha Floyd. Humanity restored.