joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #21
So long as POLISI wenu na wanajeshi wenu wanaendelea kupiga na kuua raia kiholela, hiyo IPOA haina faida yoyote, Kenya ni nchi ya maneno matupu lakini hakuna matokeo yoyote, Katiba Mpya, kupambana na rushwa, kupambana na Ukabila, Nyumba kumi initiatives, vyote hivyo kuliundwa tume na Institutions mbalimbali lakini hakuna lolote la maana lililopatikana.IPOA si NGO Kama unavyodai.....IPOA ni institution ya serekali ilioundwa na katiba mpya ku oversight utendakazi wa polisi.( Independent police oversight Authority).Kama vile tuna military police.
Wamesaidia pakubwa katika kulainisha utendakazi wa polisi.Polisi wengi wameshtakiwa na kuhukumiwa .
Nenda ufanye research kuhusu number of prosecutions they have done .Ila sijasema eti tumefika.
Hayo mengine utajitafutia ushahidi mwenyewe.