Polisi wa Kenya waendeleza unyama kwa raia na wanahabari. Wapi uhuru wa habari?

So long as POLISI wenu na wanajeshi wenu wanaendelea kupiga na kuua raia kiholela, hiyo IPOA haina faida yoyote, Kenya ni nchi ya maneno matupu lakini hakuna matokeo yoyote, Katiba Mpya, kupambana na rushwa, kupambana na Ukabila, Nyumba kumi initiatives, vyote hivyo kuliundwa tume na Institutions mbalimbali lakini hakuna lolote la maana lililopatikana.
 
Hivi huko kwenyu ukudhulumiwa na polisi unaenda kuripoti kwa Nani ?....Maana media zenu zimebanwa na hata sijui Kama kuna idara yoyote ambayo huangalia utendakazi wa polisi.

Kuna vyombo vilivyowekwa. Wee hujawahi sikia kuna wengine wamehukumiwa kunyongwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…