Polisi wa Kenya wakiwa katika majukumu yao ya kila siku


Police wetu wana mapungufu ya hapa na pale, na yapo baadhi ya matukio machache sana kama hili la Mwangosi ya jamaa kumpiga bomu la machozi tumboni kwenye close range.

Ila baadhi ya matukio mengine ya kupikwa na vyama vya siasa kuonekana wanaonewa, sio picha halisi. Huko kwenu mi najua mengi sana, na sijawahi ona hapa matukio hayo ya video yakiwekwa humu. Police wenu hawafai kwa kweli, ntakushangaa sana ukitetea hili.

Katika 179 extrajudicial killings Africa kila mwaka, Kenya ndio mchangiaji mkubwa wa haya, 170 huwa Kenya. Uganda nao Polisi wao ni hovyo sana.
 


Pia ukumbuke kua, huyo Police anayeonekana akimpiga bomu Mwangosi alifungwa 15yrs. Na picha Inakuonesha hao Riot Police wakimbeba mwenzao aliyejeruhiwa na Bomu pia wakati akiwa kwenye harakati za kumtoa Mwangosi mikononi mwa Police wengine.

Ilikua ni sintofahamu, na hakukua na general consensus ya kumdhuru Mwangosi among them.

Police wa Tanzania huwezi fananisha ni wadudu wenu huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…