Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,224
Japo kwa Watanzania kujifanya wanahoji mambo ya polisi Kenya, ni unafiki na ujinga maana mkizingua tutawaletea mapicha humu ya matukio ya kwenu hadi muukimbie huu uzi, hapa nawapa tu kama onja fulani hivi, picha hii ya polisi baada ya kumlipua mwandishi wa habari Daudi Mwangosi hadi akabaki manyama yamezagaa
![]()
![]()
MK254
JF-Expert Member
Police wetu wana mapungufu ya hapa na pale, na yapo baadhi ya matukio machache sana kama hili la Mwangosi ya jamaa kumpiga bomu la machozi tumboni kwenye close range.
Ila baadhi ya matukio mengine ya kupikwa na vyama vya siasa kuonekana wanaonewa, sio picha halisi. Huko kwenu mi najua mengi sana, na sijawahi ona hapa matukio hayo ya video yakiwekwa humu. Police wenu hawafai kwa kweli, ntakushangaa sana ukitetea hili.
Katika 179 extrajudicial killings Africa kila mwaka, Kenya ndio mchangiaji mkubwa wa haya, 170 huwa Kenya. Uganda nao Polisi wao ni hovyo sana.