GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Mwambieni tumechoka sasa na tabia yake ya kila mara tu Kutusema vibaya tena katika Public kuwa tunabambikia Watu Kesi, tunawaonea na Kuua hovyo wakati si kweli"
"Anatulaumu kuwa tupambane na Wahalifu wa hapa Jiji Kuu la San Juan nchini Puerto Rico wakati hata Yeye pia hatujali Kimaslahi kama anavyowajali wale anaowaogopa akina Mabakamabaka na Kaunda Suti jambo ambalo linatuondolea kabisa Morali na kuwaachia tu Wahalifu wafanye yao"
"Anachokitafuta sasa kutoka Kwetu ni kuanza tu Kukamata kamata hovyo Watu, Kuwatesa, Kuwajeruhi na Kuwasingizia kuwa Wao ndiyo 'Nyapa Njia' Wakuu ili tu Kumridhisha na atuone kuwa tunafanya Kazi wakati ukweli ni kwamba hata Wananchi wake wa hapa Kisiwani nchini Puerto Rico nao ni sehemu ya tatizo kwa Kuwalinda mno hawa Wahalifu kuanzia huko katika Ngazi zao za Kifamilia"
Mjumbe hauwawi na nimeufikisha!!!!