Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Habarini polisi wa tanzania japo mumekuwa kwenye katiba ya CCM sehemu yao.
Kuna jambo la kujifunza sana maana ndio kitengo duniani kinachukiwa na kuwa na lawama tokea mlipo shiriki kumtesa Yesu na nyie ndio mumefanya pasaka kuwa pro max.
Idara za polisi duniani zilizojijenga na kuwa karibu na jamii mala nyingi zinakuwa hisia,ukalimu,akili kubwa na uwezo mkubwa sio maamuzi.
Leo hii kwa nchi za wenzetu hata kama wanajua umefanya kosa mfano makosa makubwa ya mauwaji,madawa,shutuma na n.k hawa kurupuki kama mfanyavyo hapa hata kama jirani kaenda kukuchomesha.
Ndio maana ukikamatwa na polisi wa wenzetu ukifikishwa mahakamani sio polisi anasema upelelezi unaendelea ni kwamba wamekuja na ushaidi kamili hata kama umechukua mda mrefu kukutia hatiani.
Kesi nyingi mlizo nazo vituoni,mahakamani ni wazi kwamba polisi wetu wapo kama walinzi wa mageti sio wapelelezi kamili wakisubiri taarifa au visibitisho rahisi au vya kubahatisha.
Mfano jambo lile la kulipuliwa ubalozi wa marekani hapa tanzania lilikuwa na jambo zuri kujifunza kusolve kesi ambazo hata taarifa zake ni ngumu kupata ushirikiano.
Bado jeshi letu mabadiliko yanaitajika sana.Mfano polisi kuishi jamii ni rahisi hata watu kujia wapite vipi.
Jambo jengine mifumo ya polisi ni ya kizamani sana yani Jeshi la polisi lina mfumo miaka ukoloni kuzidi kupata kwa uhuru nchi,jeshi lina miaka 100 kuliko uhuru wa nchi.
Jeshi letu swala la kesi kujua root au nani muhusika ,ukikutwa wewe ndio kesi ishakuwa yako hata kama katenda mwengine.
Nimezunguka vituo vingi vya polisi sijawahi kuona mapolisi wakiwa na ofisi wanaumiza kichwa kwenye ofisi mfano kama tunaona zile sinema polisi ana meza,kompyuta,kajaza mafaili pembeni,kuna ubao .Hapa utawakuta wapo jirani wanapiga tungi au wanasubiri pesa ya kesi.
Mfumo wa kujiendesha wa polisi ni tatizo.
Nchi nyingi jeshi la polisi mfano south africa viwanda vya magari vimeondoa ushuru wa magari idara ya polisi ndio maana uwezi kukuta askari wanatembea kwa miguu kwa ajili ya usalama.
Upande wa mafunzo ,sare,vifaa ni tatizo sana.
Polisi ilitakiwa kuwa ubunifu wa vifaa,mbinu mpya kulingana viwango vya uhalifu ila washindwa.
Mfano kuna tukio lilitokea USA la nyumba ilichomwa moto.Ile kesi ilikosa ushaidi ila kutokana na uchomaji moto ule ,ilionesha mchomaji alikuwa anafahamu ramani ya nyumba sababu watu walishindwa kutoka wengine.
Kilocha fanyika walienda kampuni ya google kitengo cha google map kujua last seen kabla ya tukio.Ndio walipogundua muhusika aliaangalia zaidi ya mara kumi na mpaka anaenda kuchoma alikuwa ameweka location.
Sasa mambo kama haya jeshi la polisi letu yangeishia njiani.