GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
.sisemi kitu
Aa nyie ndio tunawatafuta1.Mimi nilishikwa nimebeba mzigo wa dili, nikatoa laki 1 nikaachiwa,
2.Kuna Jamaa mwingine nilimuuzia mzigo wa dili mbele akashikwa, mfukoni hana pesa, ikabidi pesa aliyonipa yote nikaongeza na nyingine tukawapa polisi Jamaa akaachiwa.
3.Siku moja nikiwa nafanya kazi mgodi wa Bulyanhulu nili escort container la makinikia kuja Dar.
Jamaa polisi maeneo ya Igunga wakatusimamisha. Mzigo ni full vibali hawaruhusiwi hata kuufungua. Eti jamaa pamoja na hivyo lakini walikuwa wanataka rushwa. Mmoja akafunguka kuwa kama vipi tutoroshe mzigo tuuibe.
Imagine polisi anashawishi raia waibe mzigo. Tulikataa, sasa Ili tusije pigwa chuma nikatumia akili kubwa kuwapiga chenga.
Daaah.
Tanzania kwa ufupi hatuna polisi
Ni wakamilifu? Sijasema hivyo.
Isitoshe, hakuna taasisi ya kibinadamu iliyo kamilifu!
Pamoja na madhaifu yao, wana mengi sana mazuri. Shrikisha🙏
Usiandike madhaifu, bali mema tu. Elezea matukio yaliyowahi kufanywa na Polisi wa Tanzania, iwe ulishuhudia au umesimuliwa na mtu mwingine, ambayo ni mojawapo ya kazi za Jeshi la Poklisi. Cha msingi, uwe umejieridhisha kuwa ni "ushuhuda" wa kweli.
Naamini humu JF kuna maofisa wa Jeshi la Polisi.
Karibu kwa michango itakayowatia moyo🙏
Umeelewa kichwa Cha Uzi?1.Mimi nilishikwa nimebeba mzigo wa dili, nikatoa laki 1 nikaachiwa,
2.Kuna Jamaa mwingine nilimuuzia mzigo wa dili mbele akashikwa, mfukoni hana pesa, ikabidi pesa aliyonipa yote nikaongeza na nyingine tukawapa polisi Jamaa akaachiwa.
3.Siku moja nikiwa nafanya kazi mgodi wa Bulyanhulu nili escort container la makinikia kuja Dar.
Jamaa polisi maeneo ya Igunga wakatusimamisha. Mzigo ni full vibali hawaruhusiwi hata kuufungua. Eti jamaa pamoja na hivyo lakini walikuwa wanataka rushwa. Mmoja akafunguka kuwa kama vipi tutoroshe mzigo tuuibe.
Imagine polisi anashawishi raia waibe mzigo. Tulikataa, sasa Ili tusije pigwa chuma nikatumia akili kubwa kuwapiga chenga.
Daaah.
Tanzania kwa ufupi hatuna polisi
Umeandika kinafiki Sana😅Mataa ya kamata pale hua kuna Bodaboda wanapaki, sasa Hawa Bodaboda anajuana na polisi wa pale. Jion kukiwa na operation kwa sababu ya uchache wa askari. Hawa Bodaboda ndo wanakamata madereva pikipiki wengine pale Mataa na kuwakabidhi kwa askari.
Nmetoka Kigamboni Nafika pale Mataa nakamatwa napelekwa kwa askari mmoja hiv ana nyota, naulizia kosa langu nilipo, nikamjibu sina kosa na pikipiki ina vibali vyote, KAGUA.
Hilo neno KAGUA ndo lilinionyesha wema wa polisi. Sku ile walinipa Sehem ya kulala pale central mpaka kesho yake saa9 mchana.
Nawashukuru kwa wema wao bila hivyo ningelala nyumban
Pole sana mkuu!1.Mimi nilishikwa nimebeba mzigo wa dili, nikatoa laki 1 nikaachiwa,
2.Kuna Jamaa mwingine nilimuuzia mzigo wa dili mbele akashikwa, mfukoni hana pesa, ikabidi pesa aliyonipa yote nikaongeza na nyingine tukawapa polisi Jamaa akaachiwa.
3.Siku moja nikiwa nafanya kazi mgodi wa Bulyanhulu nili escort container la makinikia kuja Dar.
Jamaa polisi maeneo ya Igunga wakatusimamisha. Mzigo ni full vibali hawaruhusiwi hata kuufungua. Eti jamaa pamoja na hivyo lakini walikuwa wanataka rushwa. Mmoja akafunguka kuwa kama vipi tutoroshe mzigo tuuibe.
Imagine polisi anashawishi raia waibe mzigo. Tulikataa, sasa Ili tusije pigwa chuma nikatumia akili kubwa kuwapiga chenga.
Daaah.
Tanzania kwa ufupi hatuna polisi
Ni wakamilifu? Sijasema hivyo.
Isitoshe, hakuna taasisi ya kibinadamu iliyo kamilifu!
Pamoja na madhaifu yao, wana mengi sana mazuri. Shrikisha🙏
Usiandike madhaifu, bali mema tu. Elezea matukio yaliyowahi kufanywa na Polisi wa Tanzania, iwe ulishuhudia au umesimuliwa na mtu mwingine, ambayo ni mojawapo ya kazi za Jeshi la Poklisi. Cha msingi, uwe umejieridhisha kuwa ni "ushuhuda" wa kweli.
Naamini humu JF kuna maofisa wa Jeshi la Polisi.
Karibu kwa michango itakayowatia moyo🙏
Mpaka hapo umeshasema mkuu!sisemi kitu
Lakini mkuu mbona niliomba tusiwalaumu bali tuyaseme mazuri yao tuliyowahi kuyashuhudia?Mataa ya kamata pale hua kuna Bodaboda wanapaki, sasa Hawa Bodaboda anajuana na polisi wa pale. Jion kukiwa na operation kwa sababu ya uchache wa askari. Hawa Bodaboda ndo wanakamata madereva pikipiki wengine pale Mataa na kuwakabidhi kwa askari.
Nmetoka Kigamboni Nafika pale Mataa nakamatwa napelekwa kwa askari mmoja hiv ana nyota, naulizia kosa langu nilipo, nikamjibu sina kosa na pikipiki ina vibali vyote, KAGUA.
Hilo neno KAGUA ndo lilinionyesha wema wa polisi. Sku ile walinipa Sehem ya kulala pale central mpaka kesho yake saa9 mchana.
Nawashukuru kwa wema wao bila hivyo ningelala nyumban
MashaAllah!!! Maafande wa aina hii utawaona vituo vya mjini tu!! Sijui shida iko wapi hatuletewi na sisi huku Kijijini ili watuhudumie raia wao wema!!!
Siyo wote mkuu wako hivyo!Uzuri wa polisi, uwe na hela tu! Aisee hata saluti watakupigia. 🏃
Polisi am very sorry, 🤭 you know am a fun guy eeh!! Msinijie huku Kijijini na mabunduki yenu. Niacheni nijilie mafao yangu aisee. 🤗