Nitakununulia kaka. Uache kuvizia za kuvamia ππNasuburi niende iStore Mlimani city nikajichukulie iPad, Apple Watch, iPhone, Mac buree..
Unapoteaga hadi nikajua umechange id. Nikajua ile id yenye namba namba mtu anasema anaolewa ni wewe bwana.Nitakununulia kaka. Uache kuvizia za kuvamia ππ
πππ nimejaa tele nakula maepo huku bushUnapoteaga hadi nikajua umechange id. Nikajua ile id yenye namba namba mtu anasema anaolewa ni wewe bwana.
Ok, fanya iPhone X huu mwaka.
Hizo wataku trace hadi chooni kwako unakata gogo.Nasuburi niende iStore Mlimani city nikajichukulie iPad, Apple Watch, iPhone, Mac buree..
Tutakuwa wote mkuu,Nasuburi niende iStore Mlimani city nikajichukulie iPad, Apple Watch, iPhone, Mac buree..
AiseePolice tulikuepo bhana
Polisi gani? Hawa wanaoshirikiana na matapeli.Polisi wa Tanzania wako Vizuri kuliko wa Kenya ona Naivas Supermarket ilivyoporwa na waandamanaji mjini Naivasha katikati ya mji na hakuna polisi alitokea kuwazuia Ingekuwa Tanzania polisi wangeshatokea na kuwaonyesha Cha mtema Kuni Hao waandamanaji waporaji
View: https://youtu.be/6aVIx2qlLxg?si=PLkRmIXYD0NvBE-F
Hilo ndilo swali la Kuuliza sio kuropoka. Hiyo Supermarket Ina uhusiano na serikali ya Ruto. Waandamanaji waliolenga biashara za wabunge waliopoiga kura ya ndio na marafiki zao.Sidhani
Sasa hiyo supermarket imewakosea Nini?
Linawezekana vizuri tu.Hilo Kwa Tanzania haliwezekani utasubiri sana
Kwa Tanzania polisi ndio wezi. Wanaua raia na kuiba Mali zao Kama yule mfanya biashara wa mtwara.Polisi wa Tanzania wako Vizuri kuliko wa Kenya ona Naivas Supermarket ilivyoporwa na waandamanaji mjini Naivasha katikati ya mji na hakuna polisi alitokea kuwazuia Ingekuwa Tanzania polisi wangeshatokea na kuwaonyesha Cha mtema Kuni Hao waandamanaji waporaji
View: https://youtu.be/6aVIx2qlLxg?si=PLkRmIXYD0NvBE-F