Polisi wa Tanzania wako Vizuri kuliko wa Kenya ona Naivas Supermarket ilivyoporwa

Polisi wa Tanzania wako Vizuri kuliko wa Kenya ona Naivas Supermarket ilivyoporwa

Nitakununulia kaka. Uache kuvizia za kuvamia 😂😂
Unapoteaga hadi nikajua umechange id. Nikajua ile id yenye namba namba mtu anasema anaolewa ni wewe bwana.

Ok, fanya iPhone X huu mwaka.
 
Unapoteaga hadi nikajua umechange id. Nikajua ile id yenye namba namba mtu anasema anaolewa ni wewe bwana.

Ok, fanya iPhone X huu mwaka.
😂😂😂 nimejaa tele nakula maepo huku bush
 
Nasuburi niende iStore Mlimani city nikajichukulie iPad, Apple Watch, iPhone, Mac buree..
Hizo wataku trace hadi chooni kwako unakata gogo.
Hata hao wapuuzi wa NAIVAS wataonekana kwenye CCTV Camera baadhi itakula kwao.
Ukiwa na njaa Kali akili inakuwa ndogo hufikirii consequences of your actions.
The aftermath of these foolish and stupid actions will be great miseries and regrets.
Ile looting wamefanya siyo malengo ya maandamano yao.
 
Sidhani kama wameshindwa kuwastopisha. Inaonyesha polisi na wao wanasapoti maandamano kimtindo
 
Polisi wapo vizuri au raia wakiona askari wanaingia woga Kwa kuwa polisi wetu wakikukamata kipondo chake sio cha kawaida.

Hao wa Kenya wanasimamia mchakato kwa kuruhusu wawasogelee na ndo maana unaona wakati wengine wanaandamana wengine wanapita na mishe zao. Wakati sie kukiwa Kuna maandamano yasiyo rasmi aka yenye viashiria vya kulalamika, polisi wetu hutawanya watu hovyo bila kujali wengine wapita njia tu
 
Sidhani
Sasa hiyo supermarket imewakosea Nini?
Hilo ndilo swali la Kuuliza sio kuropoka. Hiyo Supermarket Ina uhusiano na serikali ya Ruto. Waandamanaji waliolenga biashara za wabunge waliopoiga kura ya ndio na marafiki zao.
 
Polisi wa Tanzania wako Vizuri kuliko wa Kenya ona Naivas Supermarket ilivyoporwa na waandamanaji mjini Naivasha katikati ya mji na hakuna polisi alitokea kuwazuia Ingekuwa Tanzania polisi wangeshatokea na kuwaonyesha Cha mtema Kuni Hao waandamanaji waporaji

View: https://youtu.be/6aVIx2qlLxg?si=PLkRmIXYD0NvBE-F

Kwa Tanzania polisi ndio wezi. Wanaua raia na kuiba Mali zao Kama yule mfanya biashara wa mtwara.
 
Back
Top Bottom