ksny
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 1,704
- 1,694
Kama kuna ulakini kwenye elimu yetu, elimu yako pia ina ulakini pia na uliyoyaandika yana ulakini kwa sababu elimu yako ina ulakini.Ila elimu angalau ya diploma na degree ni muhimu sana kwa Polis wetu, ijapokuwa kuna ulakini katika elimu yetu ya juu!
Nilijaribu kufanya utafiti kidogo, na kubaini kuna utofauti mkubwa sana wa kimawazo kati ya Polisi au mwanajeshi mwenye bachelor degree na huyo form four failure!