Mkuu wa msafara wao ni Sajenti na ni degree holder ila sijui nini tu kiliwafanya washindwe kuzingatia 'police jurisdiction'Ila elimu angalau ya diploma na degree ni muhimu sana kwa Polis wetu, ijapokuwa kuna ulakini katika elimu yetu ya juu!
Nilijaribu kufanya utafiti kidogo, na kubaini kuna utofauti mkubwa sana wa kimawazo kati ya Polisi au mwanajeshi mwenye bachelor degree na huyo form four failure!
Kuhusu elimu ni popote pale.Ila elimu angalau ya diploma na degree ni muhimu sana kwa Polis wetu, ijapokuwa kuna ulakini katika elimu yetu ya juu!
Nilijaribu kufanya utafiti kidogo, na kubaini kuna utofauti mkubwa sana wa kimawazo kati ya Polisi au mwanajeshi mwenye bachelor degree na huyo form four failure!
Ingetafsiriwa kama uvamiziBahati yao labda wana ushirikiano na polisi wa upande wa pili, otherwise hilo ni suala kubwa sana kama mataifa yangekuwa mahasimu...
Ingetafsiriwa kama uvamizi
Wamalawi wangewaua kabisa. Majambazi tu hayo. Wanaweza kuleta vita baina ya Tanzania na Malawi sababu ya tamaa zao za rushwa ya magendoPolisi wa Wilaya ya Ileje Mkoani Mbeya wametandikwa na Raia wa Malawi baada ya kuingia nchi hiyo ya kigeni kwa lengo la kuwasaka wafanya magendo .
Bado Haijafahamika walikopata utaratibu huo wa kuingia nchi ya watu kutafuta wahalifu huku Nchi ya Malawi ikiwa na Polisi wake , hata hivyo tunaishukuru serikali ya Malawi kwa kuwanusuru na vifo baada ya kuingilia kati kuwaokoa .
View attachment 1941078
Siku zote tunasema IGP Sirro na genge lake lote wanaojiita Polisi uwezo wao wa kufanya kazi professionally na kwa kutumia akili ni mdogo sana, lakini watu wanabisha. Haya ndio matokeo. Hebu angalia maelezo ya hili tukio hapa chini, na ieleweke ni kina nani walifanya upumbavu wa namna hii. Angalia hata kuandika tu ni tatizo, hakuna hata vituo.Polisi wa Wilaya ya Ileje Mkoani Mbeya wametandikwa na Raia wa Malawi baada ya kuingia nchi hiyo ya kigeni kwa lengo la kuwasaka wafanya magendo .
Bado Haijafahamika walikopata utaratibu huo wa kuingia nchi ya watu kutafuta wahalifu huku Nchi ya Malawi ikiwa na Polisi wake , hata hivyo tunaishukuru serikali ya Malawi kwa kuwanusuru na vifo baada ya kuingilia kati kuwaokoa .
Kwani wanafanya kazi kwa English. Kumbuka mhalifu haongei kichina.Siku wakijaribu huku Kenya,tutawarudushie majeruhi.Polisi wa Tanzania hata Kiingereza tu hawajui