Polisi wa Tanzania wanasa Malawi wakifuatilia wahalifu

acha roho ya usaliti kijana!!Askari wa nchi yako huyo ,hv unawajua maaskari wa kimalawi ww!?,
 
Mshika mawili moja humponyoka.Mna wahalifu wa kupeleka mahakamani na mnabadili route baada ya kuona bodaboda yenye magendo.Mungu tuhurumie!!
Hii post imehamishwa kutoka thread nyingine na kuletwa huku. Sasa nimeamua kufuta post yangu uliyo-reply hapa, kwa sababu sitaki kupangiwa wapi niweke post zangu
 
We nawe ni mpumbavu sana kuongea kiingereza mnaonaga kama ndio unafanana na malkia Elizabeth sio? Kumbe ni manyani weusi watumwa tu.
Hahaaa hukijui ndio maana unakichukia hahaaaaa yai tamu aisee nenda kajifunze bana
 
NIMEPITIA COMENTS ZOTE NAONA WENGI KAMA SIO WACHANGIAJI WOTE WANASEMA "WAPIGWE TU".

WENGI WANAONA HATA JANGA LILILOWAPATA NI DOGO WANGETAMANI WANGEPATA MADHARA MAKUBWA ZAIDI.

POLISI WAJITAFAKARI
NI KWANN RAIA WENGI HAWAWAPENDI?
Kinachowaponza polisi ni kutumiwa na ccm
 
Hiyo ndio faida ya kuwa na polisi wenye div 4 na zero form 4,watazijulia wapi sheria...!
sheria hiyo hata ungepata div 1 kama hujasoma sheria huwezi ijua.

kama ambavyo umesoma na ukafaulu,lakini kuna kanuni za uandishi zinakushinda kuzingatia.
 
utafiti wako haukua huru,umemwona kingai na sirro??

elimu sio kila kitu,ila misingi ya taaluma ndio kila kitu.
 
Mwenye magendo alikua mjanja sana alikimbilia Malawi !!! Akijua sheria inakataza askari wa Tz hawezi kuingia Malawi!! Sasa askari wetu hawakulijua hilo!? Pathetic
 
Siku wakijaribu huku Kenya,tutawarudushie majeruhi.Polisi wa Tanzania hata Kiingereza tu hawajui
hiyo ni vita nguruwe wewe,hata wanajeshi wakiwa ndani ya nchi ya watu hujipigii tu kuna taratibu zake.ndio maana polisi wa malawi waliwapokea,usione walikuwa wajinga.
 
Sijasema lolote juu kujua au kutokujua Kiingereza.Nina Cho jua Polisi wa Tanzania ni zero kabisa Kwenye lugha tukiachana hayo waambie siku moja wavuke mpaka wa Sirari wafike Migori waone au wavuke mpaka wa Namanga waone.
mbona wanavuka sana mbuzi wewe!!!
 
Wamalawi wangewaua kabisa. Majambazi tu hayo. Wanaweza kuleta vita baina ya Tanzania na Malawi sababu ya tamaa zao za rushwa ya magendo
wangewaua ndio kingetokea hiki ulichoandika,lakini sababu unafikiri kwa kutumia matako hujaona busara iliyotumika na polisi wa malawi!!!
 
Mwenye magendo alikua mjanja sana alikimbilia Malawi !!! Akijua sheria inakataza askari wa Tz hawezi kuingia Malawi!! Sasa askari wetu hawakulijua hilo!? Pathetic
Wanachojua ni kimoja tu, vyama vya upinzani haviruhusiwi kufanya mikutano bali CCM peke yao!
 
NIMEPITIA COMENTS ZOTE NAONA WENGI KAMA SIO WACHANGIAJI WOTE WANASEMA "WAPIGWE TU".

WENGI WANAONA HATA JANGA LILILOWAPATA NI DOGO WANGETAMANI WANGEPATA MADHARA MAKUBWA ZAIDI.

POLISI WAJITAFAKARI
NI KWANN RAIA WENGI HAWAWAPENDI?
mkuu polisi hawawezi hangaika na stress za kila mwananchi.

ukiona unatamani binaadamu mwenzako apate matatizo,una matatizo zaidi yake tena makubwa.
 
akili duni za wachangiaji[emoji38][emoji38]

unakuta jitu linadhani mpakani kuna ukuta,na limemaliza degree.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…