A
Anonymous
Guest
Polisi wa Ushirombo Geita wanatabia usiku wanaenda kwenye nyumba za kulala wageni, kuanzia saa sita usiku, wanagonga ili kufanya ukaguzi, wanakamata watu
Ukiwa na Kitambulisho cha NIDA, watakwambia wanataka Kitambulisho cha Mpiga Kura ukiwa na Mpiga Kura wanakuuliza NIDA.
Wakikupeleka Polisi asubuhi unatoa laki wanakuachia, wanakwambia kosa lako ni kutembea bila vitambulisho, unawapa tu mkononi.