PreGE2025 Polisi: 'Wachokonozi' Jackson na Joseph wamekamatwa kwa tuhuma za matumizi mabaya ya mtandao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sheria ya makosa mtandao, sheria ya usalama wa taifa na sheria ya uchaguzi zimetengenezwa kwa ajili ya kuwanufaisha wanasiasa walioko madarakani, watumishi enye vyeo na wafanyabiashara wenye ukwasi mkubwa.

Sheria hizi zote zimewalenga wananchi wa kawaida ambao hawana nguvu za kiuchumi, mamlaka yoyote kiserikali au umma. Kiufupi wananchi wanaojitafuta wako hatarini zaidi kutokana na zonge la sheria hizi huku zikitumika viabaya kulipa visasi na kukandamiza wengine wanaotoa toa maoni kwa nia ya kujenga jamii iliyo bora.


Utawala mpya uje uzifute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…