Polisi: Wafanyabiashara wawili waliodaiwa kupotea Songea, waliuawa na Mganga wa Kienyeji na kuzikwa

Polisi: Wafanyabiashara wawili waliodaiwa kupotea Songea, waliuawa na Mganga wa Kienyeji na kuzikwa

Mahakama ya the Hague Uholanzi kuhusu utekaji, kutimia chakula kama silaha ya kivita, kuchoma nyika mifugo ya wafugaji Ngorongoro ife au wahame, kutia mahabusu wanachama 500 kwa mpigo tarehe 11 Agosti 2024, kesi ya Tundu Lissu kupigwa risasi 2017 .... n.k listi ni ndefu ya maovu ya kutisha kuwachukulia hatua katika Mahamaka ya Kimataifa mafaili yake yenye ushahidi yanazodi kuwa makubwa.
 
Wanawake wabebeshwe lawama zote na dhambi zote juu ya wanaume!!
Hawa wanaotaka kuridhishwa kipesa na kimwili wamegeuza maisha ya wanaume yawe magumu sana 😁😁
 
Jeshi la Polisi limeleza kuwa Wafanyabiashara Raymond Hyera maarufu Ray (25) na Riziki Mohamed (30) wa Songea, Ruvuma waliokuwa wamepotea walienda kwa Mganga kupata dawa ya kuwezesha biashara zao kufanya vema zaidi ambapo walinyweshwa maji yaliyowafanya walegee na kupoteza maisha na kisha Mganga kuwazika katika pori la Mdinguli.

View attachment 3087066
View attachment 3087065
Waganga watapewa sana kesi, na aina ya waganga watakaorundikiwa hizi kesi ni wale wale Deep Cover officers. Imechukua au inachukua muda kuwa spot sababu ni hadi wale walio wa assign hizo roles wakubali wabebeshwe hizo tuhuma kwa maslahi ya serikali wanayoilinda, Yes, wanayoilinda sababu Polisi wavhuko huwa wanalinda serikali, hawalindi nchi.
 
Jeshi la Polisi limeleza kuwa Wafanyabiashara Raymond Hyera maarufu Ray (25) na Riziki Mohamed (30) wa Songea, Ruvuma waliokuwa wamepotea walienda kwa Mganga kupata dawa ya kuwezesha biashara zao kufanya vema zaidi ambapo walinyweshwa maji yaliyowafanya walegee na kupoteza maisha na kisha Mganga kuwazika katika pori la Mdinguli.

View attachment 3087066
View attachment 3087065
Porojo tu hizi hawa polisi huwezi kuwaamini. Ukishajijengea tabia ya kutoaminika, ni uongo tu huo wa kuwapoteza akina Soka.
 
Daaah yaani Tanzania yetu hii jamani vituko haviishi
Yaani mganga awape wateja wake maji wanywe walegee hadi kufa halafu akawazike kwenye pori la hifadhi.
Hizi mtu mmoja kuzika watu wawili mnaona ni jambo jepesi
Labda alikuwa na kikosi kazi utajuaje?
 
Jeshi la Polisi limeleza kuwa Wafanyabiashara Raymond Hyera maarufu Ray (25) na Riziki Mohamed (30) wa Songea, Ruvuma waliokuwa wamepotea walienda kwa Mganga kupata dawa ya kuwezesha biashara zao kufanya vema zaidi ambapo walinyweshwa maji yaliyowafanya walegee na kupoteza maisha na kisha Mganga kuwazika katika pori la Mdinguli.

View attachment 3087066
View attachment 3087065
Picha ya mganga?

Jamani, nani anawaamimi polisi ktk hili?
 
Sasa unatoa uhai wa mtu kwa milioni kadhaa na dili la watu wengi hivyo, kudakwa au kugeukana ni dakika 0.
 
Jeshi la polisi mkoa wa Ruvuma linawashikilia watu watatu akiwemo mganga wa kienyeji Mtila Ausi maarufu kama shehe mtila, Omary Abdalla na Amini Sanga baada ya uchunguzi uliofanyika wa kupotea kwa wafanya biashara wawili mkoani humo kwa jina Raymond Hyera na Riziki Mohamed, na kukiri kua wafanya biashara hao walifika nyumbani kwao kwa lengo la kupata dawa za kuboost biashara zao kwenda vizuri.

Waliwanywesha maji ambayo yaliwafanya walegee na baadae kufariki kisha kuwazika katika pori la mdinguli, kijiji cha mtangashari tunduru kisha kujchukiua pesa walizo kua nazo kiasi cha milioni ishirini za kitanzania na kugawana. Septemba 03, 2024, Mtila Ausinna Omary Abdallah waliwaongoza polisi hadi walipowazikawafanya biashara hao, ufukuaji ulifanyika na miili ya wafanya biashara hao ilipatikana na uchunguzi wakisayansi unaendelea kufanbyika na hatua zingine zitafuata.

Taarifa hii imetolewa na msemaji wa jeshi la polisi Songea Mkoa wa Ruvuma kua tarehe 3 August ndugu wa wafanya biashara hao wawili walifika kituoni na kutoa taarifa ya kupotea kwa wafannya biashara hao wawili toka July 31 2024

IMG_3651.jpeg
IMG_3652.jpeg
 
Umefanya biashara kwa mbinu zako umepata milioni kumi badala ya kuboresha mbinu na kujifunza maarifa mapya unaenda kwa mganga
Mganga anawaka tamaa anakupa sumu unakufa anachukua milioni kumi zako.
Elimu elimu elimu
 
Back
Top Bottom