Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,999
- 7,928
Nilisililiza LIVE ananyoongea huyu mama, mwanamke wa shoka. Lakini kuna stage Fulani aliongea nikastuka, ehee, leo wala sishangai mshtuko wangu wa siku ile, CCM hawataki Free speech, na ukweli; ni wakuda. Ila wata-regret haya yatalipwa na Watoto wao, na lazima yatalipwa. Mambo ya uonevu kama haya hayapitagi hivi hivi, angalia leo Watoto wa Ghadafi, Mobutu, Nguema, Idd Amin wako wapi?Shangwe Ayo, Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT Wazalendo na Waziri Kivuli wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), ametangaza kuwa Polisi wamevamia ofisi za chama hicho na kumkamata Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Janeth Rithe.
Shangwe ameandika kuwa polisi wamedai kuwa wanatekeleza agizo kutoka kwa ZCO (Ofisa Upelelezi wa Mkoa). Hata hivyo, haijabainika wazi ni kwa sababu gani kiongozi huyo wa wanawake anatafutwa na vyombo vya dola.
Eti anajifanya kutetea katiba ambayo huyo bibi alikuja kuita ni kijikaratasi tu.Jamaa mshamba sana yule alibaki na kipa aka paisha
Mwambieni Zito aunge mkono NRNEShangwe Ayo, Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT Wazalendo na Waziri Kivuli wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), ametangaza kuwa Polisi wamevamia ofisi za chama hicho na kumkamata Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Janeth Rithe.
Shangwe ameandika kuwa polisi wamedai kuwa wanatekeleza agizo kutoka kwa ZCO (Ofisa Upelelezi wa Mkoa). Hata hivyo, haijabainika wazi ni kwa sababu gani kiongozi huyo wa wanawake anatafutwa na vyombo vya dola.
Mwambieni Zito aunge mkono NRNEShangwe Ayo, Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT Wazalendo na Waziri Kivuli wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), ametangaza kuwa Polisi wamevamia ofisi za chama hicho na kumkamata Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Janeth Rithe.
Shangwe ameandika kuwa polisi wamedai kuwa wanatekeleza agizo kutoka kwa ZCO (Ofisa Upelelezi wa Mkoa). Hata hivyo, haijabainika wazi ni kwa sababu gani kiongozi huyo wa wanawake anatafutwa na vyombo vya dola.
Wanakamatana wao kwao?Shangwe Ayo, Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT Wazalendo na Waziri Kivuli wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), ametangaza kuwa Polisi wamevamia ofisi za chama hicho na kumkamata Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Janeth Rithe.
Shangwe ameandika kuwa polisi wamedai kuwa wanatekeleza agizo kutoka kwa ZCO (Ofisa Upelelezi wa Mkoa). Hata hivyo, haijabainika wazi ni kwa sababu gani kiongozi huyo wa wanawake anatafutwa na vyombo vya dola.
Taja tusi alilotukanaHivi Hawa wanasiasa hawawezi kuhubiri siasa kwa agenda zao bila kuweka matusi kwa Raisi wa Nchi?
Wanadhani ipo namna ya kuporomosha matusi kwa Raisi halafu Dola ikakaa kimya?
Tupe aya ya QuruanMwambieni Zito aunge mkono NRNE
Anapelekwa kwa Mafwele, andaeni matanga na kama siyo basi atarudi yuko hoi kwa kuliwa mtungoShangwe Ayo, Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT Wazalendo na Waziri Kivuli wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), ametangaza kuwa Polisi wamevamia ofisi za chama hicho na kumkamata Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Janeth Rithe.
Shangwe ameandika kuwa polisi wamedai kuwa wanatekeleza agizo kutoka kwa ZCO (Ofisa Upelelezi wa Mkoa). Hata hivyo, haijabainika wazi ni kwa sababu gani kiongozi huyo wa wanawake anatafutwa na vyombo vya dola.
Huyo ni mtekaji usikute katuma Polisiccm wa kiume kwenda kumfanyia yale walimfanyia Binti wa UgandaZCO ni Mafwere
Kaenda kukamatwa na Polisiccm wa kiume tayari atakuwa ameshafanywa vibayaAnapelekwa kwa Mafwele, andaeni matanga na kama siyo basi atarudi yuko hoi kwa kuliwa mtungo
Kwenye Moja Na Mbili,ZCO ni Mafwere
ππ€£πππ€£π€£Huyo ni mtekaji usikute katuma Polisiccm wa kiume kwenda kumfanyia yale walimfanyia Binti wa Uganda
Mbowe na G55 chauma ubwabwa siyo Asali wanakula vyote kuanzia chai ugali wali ndizi mboga zote maziwa soda maji ya kunawa nkHawa ni walamba asali,hii ni danganya toto ionekane mambo yapo balanced
Huyo Dada watazuga kuwa kapelekwa jela au chochote ili wapewe mapesa ya operation maalum kwa sasa mateso kwa wapinzani ni Dili na fiursa ya Polisiccm kupewa luzuku maalumππ€£πππ€£π€£
Hujuana kwa vilembaWaarabu wa pemba
Yule kijana wa act jina limentokaTupe aya ya Quruan