PreGE2025 Polisi wafika Ofisi za ACT Wazalendo kumkamata Janeth Rithe kwa agizo la ZCO

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nilisililiza LIVE ananyoongea huyu mama, mwanamke wa shoka. Lakini kuna stage Fulani aliongea nikastuka, ehee, leo wala sishangai mshtuko wangu wa siku ile, CCM hawataki Free speech, na ukweli; ni wakuda. Ila wata-regret haya yatalipwa na Watoto wao, na lazima yatalipwa. Mambo ya uonevu kama haya hayapitagi hivi hivi, angalia leo Watoto wa Ghadafi, Mobutu, Nguema, Idd Amin wako wapi?
Dawa pekee ni kuvunja muungano Tanganyika iwe huru mkoloni kaburu wa Zanzibar abakie kwake
 
Oktoba TUNATIKI ✅
NO REFORMS NO ELECTION
kataa kuuza nchi yako
1000211033.jpg
 
Shangwe Ayo, Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT Wazalendo na Waziri Kivuli wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), ametangaza kuwa Polisi wamevamia ofisi za chama hicho na kumkamata Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Janeth Rithe.

Shangwe ameandika kuwa polisi wamedai kuwa wanatekeleza agizo kutoka kwa ZCO (Ofisa Upelelezi wa Mkoa). Hata hivyo, haijabainika wazi ni kwa sababu gani kiongozi huyo wa wanawake anatafutwa na vyombo vya dola.

Janeth Rithe pia amethibitisha kupokea ujumbe kuhusu kutakiwa kwake na Vyombo vya Usalama, akisema: "Ni kweli nimeletwa ujumbe kwamba nahitajika, ndiyo naelekea kwa ZCO."
Safi akatoe maelezo ya Samia kuchanganyikiwa akiwa sero.
 
Polisi tangu lini matusi yakawa ndio hoja za Kampeni,kamata huyu mpumbavu mmja akapate adabu.
 
Amka kwenye ndoto mkuu nchi inapata maendeleo
Mandeleo 🤣🤣🤣🤣🤣 kila kitu ziiii.
Alafu deni lile 107T
Tuineshe maendeleo ya kimkakakati usije taja daraja wala shule hivyo ni vitu normal tupe kitu kinatutambulisha kimataifa katika soko la nje ya nchi. ..?
 
Polisi tangu lini matusi yakawa ndio hoja za Kampeni,kamata huyu mpumbavu mmja akapate adabu.
Walikuwepo madikiteta hatari kama iddy Amini Dada Rungu Chiluba mabutu Bokasa makaburu leo hii wapo wapi? Ushetani wenu nao utafika mwisho
 
Mandeleo 🤣🤣🤣🤣🤣 kila kitu ziiii.
Alafu deni lile 107T
Tuineshe maendeleo ya kimkakakati usije taja daraja wala shule hivyo ni vitu normal tupe kitu kinatutambulisha kimataifa katika soko la nje ya nchi. ..?
Deni sio shida inadaiwa marekani sembuse sisi
 
Marekani inadaiwa ila ujua maendeleo yake kisiasa kiuchumi kuteknlojia na kila kitu. Nimekuuliza tupe shughuli yeyote iliyo asisiwa na CCM alafu unauzika nje ya nchi na kutyingizia mapesa ya kutosha kama sio utekaji na kukopa
 
Back
Top Bottom