ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kwani ambao sio madikteta wao makburi Yao Yako wapi?Walikuwepo madikiteta hatari kama iddy Amini Dada Rungu Chiluba mabutu Bokasa makaburu leo hii wapo wapi? Ushetani wenu nao utafika mwisho
Hakuna kuleta ujinga Kwa kisingizio Cha udikteta and such nonsense.
Matusi hawajawahi kuwa Kampeni Wala hakuna uhuru wa kudhalilisha mtu.