PreGE2025 Polisi wafika Ofisi za ACT Wazalendo kumkamata Janeth Rithe kwa agizo la ZCO

PreGE2025 Polisi wafika Ofisi za ACT Wazalendo kumkamata Janeth Rithe kwa agizo la ZCO

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Shangwe Ayo, Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT Wazalendo na Waziri Kivuli wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), ametangaza kuwa Polisi wamevamia ofisi za chama hicho na kumkamata Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Janeth Rithe.

Shangwe ameandika kuwa polisi wamedai kuwa wanatekeleza agizo kutoka kwa ZCO (Ofisa Upelelezi wa Mkoa). Hata hivyo, haijabainika wazi ni kwa sababu gani kiongozi huyo wa wanawake anatafutwa na vyombo vya dola.


Janeth Rithe pia amethibitisha kupokea ujumbe kuhusu kutakiwa kwake na Vyombo vya Usalama, akisema: "Ni kweli nimeletwa ujumbe kwamba nahitajika, ndiyo naelekea kwa ZCO."
Unaposema maneno aliyosema huyo nyumbu wa ACT inapaswa kuwa ameshakamatwa.
 
Acha CCM iwafundishe ACT jinsi ya :-

1. Kupiga KURA

2.Kulinda KURA

KAMA WANAVYOTA WAO ACT😂
 
Ninaogopa sana mbakaji mafwele sijui anamuwazia nini huyu mama
Lazima atamlawiti kisha anawaachie vijana wake wajipimie kwa zamu kama akipona kifo lakini hatakuwa na marinda lazima K 4 za mama zifanye kazi
 


Ahsante kutuwekea clip. Maana tulikuwa tunajadili kama wehu fulani wamekutana bar.

Wamekataa kusema wamemkamatia nini. Wamevunja sheria. I hope wameshaonywa na serikali

Manake jana Foreign Affairs walikuwa UN wanajibu shutuma za kulawiti Wakenya.

Waziri Kombo, wenzio waliitumia hiyo nafasi ya heshima mpaka wakawa Marais. Hata Mwinyi pia alianzia Foreign Affairs.

Wewe kazi yako ni kujibu matendo ya mapolisi wanaojiamulia
kuvamia 5 star hotels kuteka na kulawiti political crime suspects.

Kwa nini usimwambie Bashungwa na Wambura wakajibu wenyewe ma shutuma ya watu wao kukamata, kupiga na kupandia watu kinyume na maumbile ???
 
Back
Top Bottom