PreGE2025 Polisi wafika Ofisi za ACT Wazalendo kumkamata Janeth Rithe kwa agizo la ZCO

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho nilijua hilo mapema kwani watered wa wa ibirisi ccm wengi mnashinda mkivuta bangi huko gheto kwa Amos makala kisha kuja kusumbua watu huku jukwani, kipimo cha IQ ndogo hapa JF huwa ni kuigusa ID ya JF kwani hata yako ni ya kishamba lakini hatugusi tunakomaa na wewe kilaza mvuta bangi pekee
Baada ya kukupa dozi au siyo? Ni hivi mtashughulikiwa ipasavyo kama huamini Toka hadharani na wewe karopoke kama huyo mpuuzi unaemhangaikia hapa.
 
Shangwe Ayo, Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT Wazalendo na Waziri Kivuli wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), ametangaza kuwa Polisi wamevamia ofisi za chama hicho na kumkamata Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Janeth Rithe.

Shangwe ameandika kuwa polisi wamedai kuwa wanatekeleza agizo kutoka kwa ZCO (Ofisa Upelelezi wa Mkoa). Hata hivyo, haijabainika wazi ni kwa sababu gani kiongozi huyo wa wanawake anatafutwa na vyombo vya dola.

Janeth Rithe pia amethibitisha kupokea ujumbe kuhusu kutakiwa kwake na Vyombo vya Usalama, akisema: "Ni kweli nimeletwa ujumbe kwamba nahitajika, ndiyo naelekea kwa ZCO."

View: https://www.instagram.com/rai_online_tv/reel/DLFFrDrt6m_/
 
Zito amesema wanakwenda kupiga kura🤣🤣
 
Kwanza hamtakuja kuchukua Nchi, uliwahi ona wapi wanachukua Nchi ambao Wana visasi?

Pili Kwa nini mtu jailbreak wakati ni wakosoaji mnatakiwa kuonesha Demokrasia mnayohubiri? 😁😁😁😁😁😁😁😁

Nyie mtachukua Nchi ya ufipa na sio Nchi ya Tanzania.
ibirisi wa ccm hawashindi chaguzi zote mnaiba kura nyie siyo chaguo la waoiga kura ndiyo maana mnaendesha Nchi kimabavu kama wale makaburu wa Africa kusini
 
Tutambie kwanza mienendo ya watu waliochanganyikiwa ili tuifananishe na ya mhusika tuone kama kuna mshabihiano
 
Natoa tu angalizo kwa sababu siasa ni sayansi

Kwa hawa watu wadogo wadogo siasani unapima tu faida za kumkamata na hasara za kutomkamata kisha mnafanya maamuzi ya kisiasa

Ahsanteni sana 🇹🇿✔️
 
Janet,asisahau kubeba Yale mafuta maana polisi wa Tanzania 😭😭😭😭😭
 
Hivi Hawa wanasiasa hawawezi kuhubiri siasa kwa agenda zao bila kuweka matusi kwa Raisi wa Nchi?

Wanadhani ipo namna ya kuporomosha matusi kwa Raisi halafu Dola ikakaa kimya?
Ni ujinga sana kuendekeza kila anayekushutumu unahangaika naye
 
Shangwe Ayo, Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT Wazalendo na Waziri Kivuli wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), ametangaza kuwa Polisi wamevamia ofisi za chama hicho na kumkamata Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Janeth Rithe.

Shangwe ameandika kuwa polisi wamedai kuwa wanatekeleza agizo kutoka kwa ZCO (Ofisa Upelelezi wa Mkoa). Hata hivyo, haijabainika wazi ni kwa sababu gani kiongozi huyo wa wanawake anatafutwa na vyombo vya dola.

Janeth Rithe pia amethibitisha kupokea ujumbe kuhusu kutakiwa kwake na Vyombo vya Usalama, akisema: "Ni kweli nimeletwa ujumbe kwamba nahitajika, ndiyo naelekea kwa ZCO."
Hio ni sawa,huwezi kumtukana mtu vile,toa sera sio matusi
 
Kama wanaweza kulinda kura kwann washindwe kumlinda naibu?
 
Ninaogopa sana mbakaji mafwele sijui anamuwazia nini huyu mama
 
Shangwe Ayo, Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT Wazalendo na Waziri Kivuli wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), ametangaza kuwa Polisi wamevamia ofisi za chama hicho na kumkamata Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Janeth Rithe.

Shangwe ameandika kuwa polisi wamedai kuwa wanatekeleza agizo kutoka kwa ZCO (Ofisa Upelelezi wa Mkoa). Hata hivyo, haijabainika wazi ni kwa sababu gani kiongozi huyo wa wanawake anatafutwa na vyombo vya dola.

Janeth Rithe pia amethibitisha kupokea ujumbe kuhusu kutakiwa kwake na Vyombo vya Usalama, akisema: "Ni kweli nimeletwa ujumbe kwamba nahitajika, ndiyo naelekea kwa ZCO."
Hizo ni drama tuu, aangalie wasimbake
 
Back
Top Bottom