Jeshi la Polisi jijini Nairobi limewakamata takribani washukiwa 300 katika msako mkubwa wa kuwakabili wezi wa mitaani na uhalifu wa usiku unaoendelea kushamiri katika eneo la katikati ya jiji (CBD). Operesheni hiyo, iliyofanyika kwa siku kadhaa, imelenga maeneo yanayojulikana kwa matukio ya uporaji, wizi wa mifukoni na mashambulizi ya ghafla
Kwa mujibu wa makamanda wa polisi Nairobi, washukiwa hao walikamatwa kupitia doria za usiku zilizoratibiwa pamoja na oparesheni za siri, baada ya wakazi na wasafiri kulalamikia ongezeko la vitendo vya uhalifu. Aidha, imeelezwa kuwa wengi wa waliotiwa mbaroni ni wahalifu waliowahi kukamatwa awali, wakihusishwa na visa vya kunyang’anya simu, mikoba na mali nyingine za wapita njia.
Hivi sasa washukiwa wanachunguzwa na watakaobainika kuhusika moja kwa moja watafikishwa mahakamani. Polisi wamewahakikishia wananchi kuwa msako huo utaendelea hadi pale usalama wa katikati ya jiji utakapodhibitiwa, huku wakionya kuwa magenge ya kihalifu yanayojipanga usiku yatakabiliwa kwa mkono mkali wa sheria
=======
Police in Nairobi have arrested at least 300 suspects in a major crackdown on mugging and other nightfall crimes within the city’s Central Business District
The operation, conducted over the past few days, targeted areas notorious for street robberies, pickpocketing, and assaults that have been on the rise
According to Nairobi police commanders, the suspects were rounded up during coordinated night patrols and undercover operations aimed at restoring order in the CBD, where residents and commuters have raised concerns about insecurity
Authorities say most of those arrested are repeat offenders who have been linked to incidents of snatching phones, handbags, and other valuables from unsuspecting pedestrians
The suspects are currently being screened, and those positively identified in ongoing investigations will be arraigned in court
Police have assured the public that the crackdown will continue until the city centre is safe for all, warning that criminal gangs operating at night will be dealt with firmly
Source: buzzroomkenya