Service road siyo maeneo ya biasharaWakiwa walipo, wamewahi kuiomba serikali iwatafutie wateja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Service road siyo maeneo ya biasharaWakiwa walipo, wamewahi kuiomba serikali iwatafutie wateja?
Na apumzike kwa amani, ila kwa hili hapana hawa watu walikuwa wanafanya makusudi kuvamia maeneo ya watembea kwa miguu kwa fujo pia hawakuwa na lugha nzuri kwa watembea kwa miguu.Rip magufuli
Kwendraaaaaaaa hatutaki cheap politicsRip magufuli
[emoji1][emoji1][emoji1]Ndio kwa nini usiweze Ngoja wapangwe ndo utajua wanaweza ama la
Wao ndo watapata tabu maana wataishia kutandikwa risasi tu.Machinga wote wakijifunza karate police watapata tabu Sana.
Ulitendwa na machinga nini au wewe ni single mather uliyetelekezwa na machinga? Mbona unawasagia sanaHawa wajasiriamali sio wastaarabu mtu mwenye akili zake timamu hawezi shabikia,Mtu anayepanga biashara kwenye njia ya watembea kwa miguu walivyo wa ajabu maganda ya miwa na machungwa wanatupa kwenye mitaro ya maji matokeo ikinyesha mvua maji yanaingia mitaani kati ya kumi ya chinga nina imani wawili tu ndio wenye vitambulisho vya ujasiriamali.
Kuongeza sio maana yake upange vitu ni uondoe vitu vyako. Mbona waTZ ni wapumbavu sana, unapoongezewa muda wa kuhamisha vitu sio maana yake upange hivyo vitu inatakiwa ww uanze kuhamisha sasa ukipanga unakuwa umekiuka amriMbona RC ameongeza muda kwa siku 12 mbele , mashambulizi ya Polisi na wamachinga Msimbazi ni ya nini , kwanini zisisubiriwe hizo siku 12 ?
Nadhani hauko sawa dishi limeyumba omba samahani kwa Single mamaz,Ungekuwa una utimilifu wa akili na fikra usingeandika hiyo Comment.Ulitendwa na machinga nini au wewe ni single mather uliyetelekezwa na machinga? Mbona unawasagia sana
Hakuna bomu lolote wahame tuWacha tuone huko mbele ya safari ila watawala waelewe hili ni bomu wanalitengeneza.
Jpm aliposema waachwe mlishangilia pia.Wapinzani ni wanafiki mno
Nchi lazima iwe na mipango, haiwezekani kila sehemu watu waweke bidhaa
Muelekeze huyo naona analeta uchamaKuongeza sio maana yake upange vitu ni uondoe vitu vyako. Mbona waTZ ni wapumbavu sana, unapoongezewa muda wa kuhamisha vitu sio maana yake upange hivyo vitu inatakiwa ww uanze kuhamisha sasa ukipanga unakuwa umekiuka amri
Kuna benki inatoa mkopo kwa wamachinga namk niende?kilichotakiwa sio kuondoa machinga wote,ilitakiwa wale ambao hawakuwa na shida wabaki wale ambao ilikuwa kero ndo watolewe,imangine unawapa watu siku 30 waondoke wakati wamechukua mkopo hapo unaenda kuua vikoba na taasisi za kukopesha,tusifurahie tuu!
Sijawahi kuwa CCM wala kumpenda au kumshabikia aliyekufa.Jpm aliposema waachwe mlishangilia pia.