Polisi wakimbizana na Wamachinga Dar

Mwenyekiti wa machinga akikimbia kuokoa maisha yake, nasema hivi fukuza kabisa hao watu kwenye miji ya wenzetu huwezi kuta wamachinga wametapakaa hovyo mjini.

Nasema hivi fukuza kabisa hao watu hawatakiwi mjini.
 
Rip magufuli
Na apumzike kwa amani, ila kwa hili hapana hawa watu walikuwa wanafanya makusudi kuvamia maeneo ya watembea kwa miguu kwa fujo pia hawakuwa na lugha nzuri kwa watembea kwa miguu.
 
kilichotakiwa sio kuondoa machinga wote,ilitakiwa wale ambao hawakuwa na shida wabaki wale ambao ilikuwa kero ndo watolewe,imangine unawapa watu siku 30 waondoke wakati wamechukua mkopo hapo unaenda kuua vikoba na taasisi za kukopesha,tusifurahie tuu!
 
Ulitendwa na machinga nini au wewe ni single mather uliyetelekezwa na machinga? Mbona unawasagia sana
 
Mbona RC ameongeza muda kwa siku 12 mbele , mashambulizi ya Polisi na wamachinga Msimbazi ni ya nini , kwanini zisisubiriwe hizo siku 12 ?
Kuongeza sio maana yake upange vitu ni uondoe vitu vyako. Mbona waTZ ni wapumbavu sana, unapoongezewa muda wa kuhamisha vitu sio maana yake upange hivyo vitu inatakiwa ww uanze kuhamisha sasa ukipanga unakuwa umekiuka amri
 
Wapinzani ni wanafiki mno
Nchi lazima iwe na mipango, haiwezekani kila sehemu watu waweke bidhaa
 
Hangaya arudishe hela za vitambulisho walivyowauzia na kuwaambia wakae popote wakiwa na mwendazake
 
Kuongeza sio maana yake upange vitu ni uondoe vitu vyako. Mbona waTZ ni wapumbavu sana, unapoongezewa muda wa kuhamisha vitu sio maana yake upange hivyo vitu inatakiwa ww uanze kuhamisha sasa ukipanga unakuwa umekiuka amri
Muelekeze huyo naona analeta uchama
 
Kuna benki inatoa mkopo kwa wamachinga namk niende?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…