Polisi wakimbizana na Wamachinga Dar

Hayo kawaulize machinga wenyewe!
 
Mmeshiba ndiooo.. Mna njaa ndiooo...

By Bwege mbunge mstaafu..
 
Kwa hiyo miji mingine inasubiri polisi wakimaliza kazi Dar wahamie kwingine kuendelea na hili zoezi au mikoa mingine imeachana na hili zoezi?
 
chini ya millioni 5 na Ushee ukiangalia biashara yake unajua kabisa huyu kodi ya Frem hashindwi kulipa
Mbagara rangi tatu mwaka 2019 niliambiwa frame laki 7 kwa mwezi na nilipe miezi sita kashi!! Na hapo nilipigana mpaka nikampata mwenye fremu huku nikiwa nimewakwepa madalali. Sasa hivi itakuwa 1.5 m nadhani. Sasa sipati picha Hapo Msimbazi frame zitakuwa bei gani.

Kumbuka songombingo alizozieleza Mshana Jr za ufanyaji biashara Kariakoo kwenye uzi wake ambao humo humu.
 
Mbagara rangi tatu kulipa Frem laki saba ni haki ile sehemu ina mzunguko wa biashara mno hata ukiuza visivyo uzwa watu wana nunua
 
Uongo hujafika huko
 
He was incompetent leader looking for cheap politics!!!!
 
Waende kwenye fremu za elfu 50 au laki kwa mwezi..., kila mtu anapata kulingana na uwezo
Ukiona fremu inapangishwa elfu 50 kwa mwezi ujue eneo hilo mzunguko hamna kabisa! Fremu za barabarani kama hivyo hata mitaani tu ni 100-200K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…