Polisi wakimbizana na Wamachinga Dar

Polisi wakimbizana na Wamachinga Dar

Walianza lini kukaa kwenye service road? Kwanini Machinga Complex ilibaki tupu? Kwanini hawaendi Mawasiliano, wanarudi pembezoni mwa Tanesco Power station? Karume lilifutiliwa mbali hata kuchomwa moto, ni lini lilianza soko la Karume, lini lilipaswa kuhama, na je tayari limeshahamia pale Complex ambapo ni pua na mdomo?
Hayo kawaulize machinga wenyewe!
 
Mmeshiba ndiooo.. Mna njaa ndiooo...

By Bwege mbunge mstaafu..
 
Kwa hiyo miji mingine inasubiri polisi wakimaliza kazi Dar wahamie kwingine kuendelea na hili zoezi au mikoa mingine imeachana na hili zoezi?
 
chini ya millioni 5 na Ushee ukiangalia biashara yake unajua kabisa huyu kodi ya Frem hashindwi kulipa
Mbagara rangi tatu mwaka 2019 niliambiwa frame laki 7 kwa mwezi na nilipe miezi sita kashi!! Na hapo nilipigana mpaka nikampata mwenye fremu huku nikiwa nimewakwepa madalali. Sasa hivi itakuwa 1.5 m nadhani. Sasa sipati picha Hapo Msimbazi frame zitakuwa bei gani.

Kumbuka songombingo alizozieleza Mshana Jr za ufanyaji biashara Kariakoo kwenye uzi wake ambao humo humu.
 
Mbagara rangi tatu mwaka 2019 niliambiwa frame laki 7 kwa mwezi na nilipe miezi sita kashi!! Na hapo nilipigana mpaka nikampata mwenye fremu huku nikiwa nimewakwepa madalali. Sasa hivi itakuwa 1.5 m nadhani. Sasa sipati picha Hapo Msimbazi frame zitakuwa bei gani.

Kumbuka songombingo alizozieleza Mshana Jr za ufanyaji biashara Kariakoo kwenye uzi wake ambao humo humu.
Mbagara rangi tatu kulipa Frem laki saba ni haki ile sehemu ina mzunguko wa biashara mno hata ukiuza visivyo uzwa watu wana nunua
 
Hata huko unapoona nchi zilizoendelea za ulaya hao wanaofanya biashara mitaani wapo hila wanapangwa wasibughudhi wengine sio kisingizio cha ajira mpk mzibe njia za watembea kwa miguu mtu inabidi apite barabarani kupishana na magari njia ya kutembelea imejengwa mabanda
Uongo hujafika huko
 
Halafu Magufuli alikuwa anawaambia wazaliane tu.Ndo vijana wenyewe asilimia kubwa ndo machinga. Wawaondoe tu.Wataumia ila watazoea tu.Kila mtu huko mikoani anawaza kuja Dar kuwa machinga. Enough is enough. Hakuna kurudi nyuma,wawaondoe tu. Watembea kwa miguu kariakoo unatembea huku umebana pochi yako kisa mbanano. Vibanda mbele ya maduka uliona wapi ?Vibanda kwenye service road jamani [emoji24]
He was incompetent leader looking for cheap politics!!!!
 
Waende kwenye fremu za elfu 50 au laki kwa mwezi..., kila mtu anapata kulingana na uwezo
Ukiona fremu inapangishwa elfu 50 kwa mwezi ujue eneo hilo mzunguko hamna kabisa! Fremu za barabarani kama hivyo hata mitaani tu ni 100-200K
 
Back
Top Bottom