Nani anakopesha machinga?kilichotakiwa sio kuondoa machinga wote,ilitakiwa wale ambao hawakuwa na shida wabaki wale ambao ilikuwa kero ndo watolewe,imangine unawapa watu siku 30 waondoke wakati wamechukua mkopo hapo unaenda kuua vikoba na taasisi za kukopesha,tusifurahie tuu!
Ukiambiwa uachie cheo ulichonacho ofisini uhamishiwe stoo kwa mlinzi na wafanya usafi utakubali? Kwa maana yote still uko ofisini? Utaweza?Msipotoshe....hakuna Biashara isiyo na mpangilio. Kwanini hawataki kwenda maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya biashara ya kimachinga?!
Naam ndio hivyo, uhalisia wa maisha, life is not perfect wote tungetaka mzunguko mtamu huenda tungerundikana Kariakoo.., ila sababu wants are unlimited na sources are scarce, prices ni moja ya mchujo..., yaani tunajichuja wenyewe bila kulalamika, vinginevyo tungesema wanaopata fremu Kariakoo wanapendelewa (lakini uzito wa pochi yako unakufanya mwenyewe uende pengine)Ukiona fremu inapangishwa elfu 50 kwa mwezi ujue eneo hilo mzunguko hamna kabisa! Fremu za barabarani kama hivyo hata mitaani tu ni 100-200K
Sema "Raisi" mama ndio nini.Mama huwa hamanishi anachoongea.
Nimecheka kwa nguvu sana.
Katika hili nakubali kutokubaliana na wewe! Hapo si unaona wamewashambulia viongozi wao wakati wanawapanga? Sasa tunataka polisi wafanye nini zaidi ya kutembeza kichapo? Hao jamaa ni wakorofi, watoke kwenye njia za waende kwa miguu bwana!Mbona RC ameongeza muda kwa siku 12 mbele , mashambulizi ya Polisi na wamachinga Msimbazi ni ya nini , kwanini zisisubiriwe hizo siku 12 ?
Wakiamua hawashibdwi, kama wanaweza baka uchaguzi mchana kweupe washindwe hili? Nitashangaa kwakweliUnahisi Serikali watafanikiwa kwenye hili?
Wamefika hadi huko?Manzese inapendeza