Polisi walikurupuka kumtengua RPC Dodoma

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
11,837
Reaction score
17,412
Baada ya sintofahamu ya ripoti iliyotolewa na gazeti la mwananchi na kuinasibisha na kauli ya RPC dodoma,ghafla JESHI la polisi likaikana kauli hiyo na kumtengua u RPC.

Jeshi la polisi kwanza walitakiwa wadai UTHIBITISHO kutoka kwa gazeti hili kama kweli haya maneno RPC aliyasema,je polisi walifanya hivyo?

Kama polisi ni law enforces mbona mambo logic kama haya hayafuatwi katika kuwawajibisha wenzao?

Je, kama wanashindwa kufuata utaratibu sahihi katika kuwawajibisha wenzao unadhani WATAWEZA KUFUATA UTARATIBU SAHIHI KATIKA KUWAWAJIBISHA RAIA?

Pia, soma:
Raia tunafurahia RPC kutenguliwa je hatujui kama uamuzi huo wa polisi unaweza kutuathiri hata sisi kwa maana ulikuwa uamuzi wa kihisia na sio uamuzi wa kimantiki

MAgazeti tunayajua namna ambavyo ni hodari kwa kunukuu maneno wanayoyaona yatavutia biashara yao.

Je, polisi wana uhakika gani kama yale maneno yule RPC kayasema?

Hatujaona media yoyote ikiripoti na kuweka sauti ya yule mama RPC akiyazungumzwa yale yanayodaiwa.

POlisi wanapokanusha kwamba kauli hiyo sio ya jwshi la polisi kwani wapi huyo RPC kaisema kauli hiyo.

Kama waandishi ni waadilifu mbona hawajachapisha maneno ya RPC tuliyoyasikia wemyewe akisema kwamba HATA KAMA NI INASEMWA NI MALAYA HAKUSTAHIKI KUFANYIWA HIVYO?

Kama polisi wanashindwa kuwa na weledi baina yao,unadhani watakuwa na weledi kwa wananchi ?

Huyu mama anaonewa bure.
 
Baada ya sintofahamu ya ripoti iliyotolewa na gazeti la mwananchi na kuinasibisha na kauli ya RPC dodoma,ghafla JESHI la polisi likaikana kauli hiyo na kumtengua u RPC.

Jeshi la polisi kwanza walitakiwa wadai UTHIBITISHO kutoka kwa gazeti hili kama kweli haya maneno RPC aliyasema,je polisi walifanya hivyo ?

Kama polisi ni law enforces mbona mambo logic kama haya hayafuatwi katika kuwawajibisha wenzao ?

Je kama wanashindwa kufuata utaratibu sahihi katika kuwawajibisha wenzao unadhani WATAWEZA KUFUATA UTARATIBU SAHIHI KATIKA KUWAWAJIBISHA RAIA ?

Raia tunafurahia RPC kutenguliwa je hatujui kama uamuzi huo wa polisi unaweza kutuathiri hata sisi kwa maana ulikuwa uamuzi wa kihisia na sio uamuzi wa kimantiki

MAgazeti tunayajua namna ambavyo ni hodari kwa kunukuu maneno wanayoyaona yatavutia biashara yao.

Je polisi wana uhakika gani kama yale maneno yule RPC kayasema ?

Hatujaona media yoyote ikiripoti na kuweka sauti ya yule mama RPC akiyazungumzwa yale yanayodaiwa.

POlisi wanapokanusha kwamba kauli hiyo sio ya jwshi la polisi kwani wapi huyo RPC kaisema kauli hiyo.

Kama waandishi ni waadilifu mbona hawajachapisha maneno ya RPC tuliyoyasikia wemyewe akisema kwamba HATA KAMA NI INASEMWA NI MALAYA HAKUSTAHIKI KUFANYIWA HIVYO ?

kama polisi wanashindwa kuwa na weledi baina yao,unadhani watakuwa na weledi kwa wananchi ?

Huyu mama anaonewa bure.
Huyo sio mama ni baba huoni sura yake kama mzee mallya ....kauli yake ni ya kijambazi anamlinda fatma
 
Mko naye kwenye group lenu
 
Umeagizwa au umetumwa uandike?
Kwani yeye mwenyewe Hana kifaa Cha kuandikia ?
 
wewe unaweza kuchunguza Kuliko IGP?ukiona hivyo IGP aliomba mahojiano yote sababu chombo cha habari kiliweka rekodi ya mahojiano.

Bila hivyo ungesikia mwandishi wa habari yuko polisi kwa uchochezi
.
barua ya kumtengua RPC ilisema kwamba WANAFANYA UCHUNGUZI KUTAFUTA USAHIHI WA KAULI HIYO.

barua ya kumtengua na kudai wanafanya uchunguzi ni moja.

Wewe unaedai kwamba IGP alifanya uchunguzi aliufanya lini wakati barua ya kutengua ilikuwa imeambatana na kudai wanaendelea kufanya uchunguzi ?
 
Sasa we umewahi kuona wapi mtu anachunguzwa akiwa kwa ofisi yake anahudumu?
 
Baada ya sintofahamu ya ripoti iliyotolewa na gazeti la mwananchi na kuinasibisha na kauli ya RPC dodoma,ghafla JESHI la polisi likaikana kauli hiyo na kumtengua u RPC.

Jeshi la polisi kwanza walitakiwa wadai UTHIBITISHO kutoka kwa gazeti hili kama kweli haya maneno RPC aliyasema,je polisi walifanya hivyo ?

Kama polisi ni law enforces mbona mambo logic kama haya hayafuatwi katika kuwawajibisha wenzao ?

Je kama wanashindwa kufuata utaratibu sahihi katika kuwawajibisha wenzao unadhani WATAWEZA KUFUATA UTARATIBU SAHIHI KATIKA KUWAWAJIBISHA RAIA ?

Raia tunafurahia RPC kutenguliwa je hatujui kama uamuzi huo wa polisi unaweza kutuathiri hata sisi kwa maana ulikuwa uamuzi wa kihisia na sio uamuzi wa kimantiki

MAgazeti tunayajua namna ambavyo ni hodari kwa kunukuu maneno wanayoyaona yatavutia biashara yao.

Je polisi wana uhakika gani kama yale maneno yule RPC kayasema ?

Hatujaona media yoyote ikiripoti na kuweka sauti ya yule mama RPC akiyazungumzwa yale yanayodaiwa.

POlisi wanapokanusha kwamba kauli hiyo sio ya jwshi la polisi kwani wapi huyo RPC kaisema kauli hiyo.

Kama waandishi ni waadilifu mbona hawajachapisha maneno ya RPC tuliyoyasikia wemyewe akisema kwamba HATA KAMA NI INASEMWA NI MALAYA HAKUSTAHIKI KUFANYIWA HIVYO ?

kama polisi wanashindwa kuwa na weledi baina yao,unadhani watakuwa na weledi kwa wananchi ?

Huyu mama anaonewa bure.
Hayo yote yatotelewa baada ya uchunguzi
Au ulitaka achunguzwe akiwa bado ofisini ??
Hizi ni akili za namna gani unazo ww

Mwambie atulie uchunguzi ufanyike
 
Sasa we umewahi kuona wapi mtu anachunguzwa akiwa kwa ofisi yake anahudumu?
HIyo inatoa nafasi kwa wapuuzi kuzusha upumbavu huku ikiwa lengo la wazushi hao ni kutaka utolewe nafasi uliyopo.

Chombo chenye weledi lazima ijiridhishe kwanza kuhusu taarifa za mitandaoni then wanaweza kuchukua hatua hii.

Ni mama yule RPCaliyeutaka U IGP ile ni sawa kwani walijiridhisha kwamba kasema yeye kisha akatenguliwa kwa ajili ya uchunguzi.
 
Ndugu zangu naomba kujua utaratibu pale unapohitaji Msaada wa kisheria kutoka chama cha Mawakili " TLS" " yaani unapohitaji udhamini wa Wakili " .
ninapohitaji udhamini wa wakili ninamaana kwamba sina uwezo wa kumlipa wakili na ndio maana nahitaji kudhaminiwa.
Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom