safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Baada ya sintofahamu ya ripoti iliyotolewa na gazeti la mwananchi na kuinasibisha na kauli ya RPC dodoma,ghafla JESHI la polisi likaikana kauli hiyo na kumtengua u RPC.
Jeshi la polisi kwanza walitakiwa wadai UTHIBITISHO kutoka kwa gazeti hili kama kweli haya maneno RPC aliyasema,je polisi walifanya hivyo?
Kama polisi ni law enforces mbona mambo logic kama haya hayafuatwi katika kuwawajibisha wenzao?
Je, kama wanashindwa kufuata utaratibu sahihi katika kuwawajibisha wenzao unadhani WATAWEZA KUFUATA UTARATIBU SAHIHI KATIKA KUWAWAJIBISHA RAIA?
Pia, soma:
Raia tunafurahia RPC kutenguliwa je hatujui kama uamuzi huo wa polisi unaweza kutuathiri hata sisi kwa maana ulikuwa uamuzi wa kihisia na sio uamuzi wa kimantiki
MAgazeti tunayajua namna ambavyo ni hodari kwa kunukuu maneno wanayoyaona yatavutia biashara yao.
Je, polisi wana uhakika gani kama yale maneno yule RPC kayasema?
Hatujaona media yoyote ikiripoti na kuweka sauti ya yule mama RPC akiyazungumzwa yale yanayodaiwa.
POlisi wanapokanusha kwamba kauli hiyo sio ya jwshi la polisi kwani wapi huyo RPC kaisema kauli hiyo.
Kama waandishi ni waadilifu mbona hawajachapisha maneno ya RPC tuliyoyasikia wemyewe akisema kwamba HATA KAMA NI INASEMWA NI MALAYA HAKUSTAHIKI KUFANYIWA HIVYO?
Kama polisi wanashindwa kuwa na weledi baina yao,unadhani watakuwa na weledi kwa wananchi ?
Huyu mama anaonewa bure.