Polisi walikurupuka kumtengua RPC Dodoma

Those may be arrangee. Mipango hiyo mbona aliyetuma watu hatajwi wala hawaja mkamata
 
Kwani yule dada aliyefanyiwa ukatili tunapomsemea unadhani yeye hana uwezo wala kifaa cha kuandikia na kujisemea mwenyewe ?

Mbona watu wa ngorongoro tunawasemea ?

Mnaamua ni wepi wa kuwasemea ?
Yule binti mmemshikilia kizuizini unategemea ataandikaje?
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.
sijaona maneno ya hovyo katika maneno ya huyu mama.
Hiyo clip inayosemwa ni ya mwanzo mbina hatuioni.

Ila katika hii ishu ndo unajua watz walivyokuwa watu wa hisia.

Na mtz hisia zikitangulia basi ufahamu wake unaondoka kabisa
 
KAMA WANAVYOONEWA WANANCHI WENGINE WATEKWAJI, WA NGORONGORO NA WENGINE
 
China huyo RPC angeliwa kichwa si bora huku wamesema akalie benchi tu..
 
China huyo RPC angeliwa kichwa si bora huku wamesema akalie benchi tu..
Huyo mama wa kichaga wamemtengenezea zengwe tu lakini hatujaona kosa lake, tungewaona wa maana sana kama wangemkamata afande anayemiliki genge linalobaka na kulawiti. Kudeal na huyo RPC ni kututoa kwenye reli badala ya kumfatilia afande aliyetuma wahuni wakafanye ubakaji na ulawiti tuanze kumjadili aliyesema kwamba : "HATA KAMA HUYO ALIYEBAKWA ANGEKUWA MALAYA ISINGEFAA KUFANYIWA UKATILI ALIOFANYIWA" Sasa huyu RPC na huyo aliyetuma genge la ubakaji nani kafanya kosa kubwa?! Sasa kwanini aachwe aliyefanya kosa kubwa badala yake awajibishwe mtu ambaye ulimi wake umeteleza tu?!
 
Kwani huyo Mama sura ngumu aliewatuma ajakamatwa maana huyo ndio mtuhumiwa namba moja pamoja na huyu aliekumbatia faili ili wasipelekwe mahakamani..
 
Ni Ni lini walifuata taratibu kuwawajibisha raia?
Ebu tembelea familia ya yule kijana mchimba madini kutokea LINDI aliyeuliwa na hao polisi kule MTWARA kama umesahau au hujui kuhusu wale wafanya biashara wa madini ndugu wale kutoka MAHENGE.
 
Kwa kufuatilia clips mbalimbali za huyu RPC UTube nk nimegundua kwanza huyu mama alikuwa karibu na jamii sana na mara kadhaa namsikia akipenda kunukuu maandishi ya kwenye biblia kukemea rushwa na mambo mengine ambayo yapo kinyume na maadili kama vile ushoga , usagaji nk.
Hayo maneno anayotuhumiwa kama alisema Mimi naamini ulimi uliteleza tu lakini mama huyu ametulia sana japo kazini pia hapakosi FITINA.
 

Attachments

  • 1724244826981.jpg
    326.3 KB · Views: 2
Kama amesema ni kahaba ni sawa, ni kama ambavyo angekuwa kama vile ambavyo angekuwa fundi cherehani au mama ntilie pia angesema. Pia alisema wale watu ni wavuta bangi pia ni kweli Kwa sababu hata sisi tuliona wanavuta bangi..In this case amenyoosha maelezo...Kama huna mihemko utamuelewa huyu mama
 
Karudishwa Mako Makuu, siku hizi ni hapo hapo Dodoma kupisha uchunguzi.

Huwezi kuchunguza tuhuma nzito namna hiyo wakati akiwa kwenye kiti chake cha u RPC.
 
Karudishwa Mako Makuu, siku hizi ni hapo hapo Dodoma kupisha uchunguzi.

Huwezi kuchunguza tuhuma nzito namna hiyo wakati akiwa kwenye kiti chake cha u RPC.
Mimi nadhani kumchunguza huyo afande anayetuhumiwa kumiliki genge la wabakaji ilikuwa muhimu kuliko kumchunguza huyu aliyesema maneno sahihi ila watu wakaamua kuyapa tafsiri mbaya. RPC hakusema kwamba dada ALIYEBAKWA ni kahaba au anajiuza ila kasema hata ingekuwa kahaba isingefaa kufanyiwa huo unyama aliofanyiwa.
 
Yule Mama Theopista Mallya ni Decent Sana aisee sidhani kama anatumika au aliongea vile kwa nia mbaya. Dooh!
 
Nawewe endelea kunywa biazao hapo domtown kama hongo

Usije baadae ukalaumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…