Polisi walikurupuka kumtengua RPC Dodoma

Unakosa kuwa muelewa.

Kuhusu sauti nilishasema hapo juu nini alizungumza labda uwe sio msomaji mwelewa
audio nimeisikia ilikuwa imesambaa kwenye tiktok. Pole kwa shangazi yako kuondolewa kwenye post wakati uchunguzi unafanyika.
 
HIyo inatoa nafasi kwa wapuuzi kuzusha upumbavu huku ikiwa lengo la wazushi hao ni kutaka utolewe nafasi uliyopo.

Chombo chenye weledi lazima ijiridhishe kwanza kuhusu taarifa za mitandaoni then wanaweza kuchukua hatua hii.

Ni mama yule RPCaliyeutaka U IGP ile ni sawa kwani walijiridhisha kwamba kasema yeye kisha akatenguliwa kwa ajili ya uchunguzi.
Hajafukuzwa kazi, karudishwa makao makuu ya polisi. Anaendelea kupata mshahara wake wa kila mwezi. Ikibaunika kasingiziwa atarudishwa ofisini kwake au atapewa u RPC mkoa mwingine . Huyo hadi sasa Bado ni ofisa wa jeshi la polisi na anakula mshahara kama kawaida , tatizo lipo wapi hapo?!.
 
MBona polisi walikana kwamba kauli hiyo sio msimamo wa jeshi.

walithibitishaje kauli hii kama ni kweli ometoka kwa kiongozi mwenzao mpaka wafikie hatua ya kuikana ?
Sasa wewe ulitaka wakubali kuwa kauli hiyo ni msimamo wao?!
 
nadhani una hasira sana na inakunyima uelewa.

ILe sauti mbona iko wazi kwamba yule mama anasema "HATA KAMA WATU WANASEMA NI KAHABA BADO HAKUSTAHILI KUFANYIWA VILE"

Sasa hapo anayesema yule ni kahaba ni RPC au watu ambao yeye amewanukuu na kutaka binti atendewe haki ?

Kwa uelewa wako ni halali tu kutukana aisee
Wewe umesikiliza utetezi wake baada ya kuaribu hali ya hewa......tafuta audio ya kwanza......kabla ya joto kwenye mitandao
🙂 🙂
 
Haya mdogo wangu, Muandikoe barua mrudishe awe RPC.
 
Attachments

  • RPC_DODOMA_ASHINDWA_KUJIZUIA_ASEMA_KINACHOENDELEA_MASHULENI_ATAJA_USHOGA__HALI_NI_MBAYA_(720p).mp4
    16.6 MB
Baada ya kupitia kauli mbalimbali za huyu RPC wa kichaga mitandaoni hasa UTube naunga mkono hoja ya mleta Uzi kuwa huyu mama kahukumiwa kimakosa lakini huyu mama Yuko vizuri sana kuhusu vita dhidi ya mmomonyoko wa kimaadili.
 
Baada ya sintofahamu ya ripoti iliyotolewa na gazeti la mwananchi na kuinasibisha na kauli ya RPC dodoma,ghafla JESHI la polisi likaikana kauli hiyo na kumtengua u RPC.

Jeshi la polisi kwanza walitakiwa wadai UTHIBITISHO kutoka kwa gazeti hili kama kweli haya maneno RPC aliyasema,je polisi walifanya hivyo?

Kama polisi ni law enforces mbona mambo logic kama haya hayafuatwi katika kuwawajibisha wenzao?

Je, kama wanashindwa kufuata utaratibu sahihi katika kuwawajibisha wenzao unadhani WATAWEZA KUFUATA UTARATIBU SAHIHI KATIKA KUWAWAJIBISHA RAIA?

Pia, soma:
Raia tunafurahia RPC kutenguliwa je hatujui kama uamuzi huo wa polisi unaweza kutuathiri hata sisi kwa maana ulikuwa uamuzi wa kihisia na sio uamuzi wa kimantiki

MAgazeti tunayajua namna ambavyo ni hodari kwa kunukuu maneno wanayoyaona yatavutia biashara yao.

Je, polisi wana uhakika gani kama yale maneno yule RPC kayasema?

Hatujaona media yoyote ikiripoti na kuweka sauti ya yule mama RPC akiyazungumzwa yale yanayodaiwa.

POlisi wanapokanusha kwamba kauli hiyo sio ya jwshi la polisi kwani wapi huyo RPC kaisema kauli hiyo.

Kama waandishi ni waadilifu mbona hawajachapisha maneno ya RPC tuliyoyasikia wemyewe akisema kwamba HATA KAMA NI INASEMWA NI MALAYA HAKUSTAHIKI KUFANYIWA HIVYO?

Kama polisi wanashindwa kuwa na weledi baina yao,unadhani watakuwa na weledi kwa wananchi ?

Huyu mama anaonewa bure.
Walichunguza wakapewa sauti Mwananchi, wakachukua hatua
 
Polisi ni majitu ya ovyo sana. Jitu linatoa maneno ya ovyo halafu linakanusha? Nchi ya kikwuma sana hii.
 
Kama polisi wanashindwa kuwa na weledi baina yao,unadhani watakuwa na niweledi kwa wananchi ?

Huyu mama anaonewa bure.

Wewe umesikiliza utetezi wake baada ya kuaribu hali ya hewa......tafuta audio ya kwanza......kabla ya joto kwenye mitandao
🙂 🙂
Wewe kama unayo hiyo audio tuletee! Huyu mama wamemfanyia fitina tu , saa nyingine wakubwa zake walikuwa wana visasi nae kwa mambo binafsi tu Sasa wakaona wamepata sababu ya kumuwajibisha kwa dhulma!. Sehemu za kazi hazikosi fitina. Saa nyingine kuna mabosi wanaotaka rushwa ya ngono kawakatalia wakaona wamkomoe. Mimi baada ya kuisikiliza hiyo audio sijaona kosa lake liko wapi!.
 
Acha uzembe wewe......unakuja na hoja rahisi kama Chawa.....jishughulishe.....audio hipo kwenye mitandao...
Wakubwa zake wawe na visasi naye?........Soma tena andiko la Jeshi la Polisi... 🙂
 
Wewe kama unayo hiyo audio tuletee! Huyu mama wamemfanyia fitina tu , saa nyingine wakubwa zake walikuwa wana visasi nae kwa mambo binafsi tu Sasa wakaona wamepata sababu ya kumuwajibisha kwa dhulma!. Sehemu za kazi hazikosi fitina. Saa nyingine kuna mabosi wanaotaka rushwa ya ngono kawakatalia wakaona wamkomoe. Mimi baada ya kuisikiliza hiyo audio sijaona kosa lake liko wapi!.
Ni kweli mkuu kwa nature ya Askari walivyo ile sio lugha kubwa ya kumuondoa ofisini angepewa onyo tuu. Hapo kuna sehemu walikuwa wana msubiria akosee kidogo wamtoe mambo ya wivu kwenye utumishi wa uma sio mchezo . Police ni wasafi kwa kiwango gani cha kuweza kuona huyo mama ni mkosefu sana.
 
Unasemaaa...?
 
Attachments

  • 1724244826981.jpg
    1724244826981.jpg
    326.3 KB · Views: 4
Polisi ni majitu ya ovyo sana. Jitu linatoa maneno ya ovyo halafu linakanusha? Nchi ya kikwuma sana hii.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.
sijaona maneno ya hovyo katika maneno ya huyu mama.
 
Attachments

  • SAUTI_ya_AFANDE_THEOPISTA_MALLYA_-__HATA_KAMA_INGEKUWA_ANAJIUZA_-_HAPASWI_KUFANYIWA_KITENDO_HI...mp4
    11.4 MB
Jinsi wanawake wasivyopendana Wanawake wameweka na vidawati vya jinsia h8ko vituo vya polisi, kumbe hamna kitu wanatuzuga tu.
Where is feminism ?
Wanamkandamiza mwanamke mwenzao kisa wanamahusiano ya kikazi.
Hata wao wakibakwa kumbe sisi midume tutulie tu.
Namashaka na uadilifu wao, huenda hao wamama wote wamewahi kubakwa kimya kimya kwa hio wanachukulia kawaida.
Wanawake wengi wameisha tendwa hivyo wanaona sio ishu.
 
Mbona huwa hatuoni wakiwa makini kwenye mambo mengine namna hiyo. Kwa nini wame react mapema hivyo kama sio ni mpango wa kumuonea.
Nilikuwa sijasikiliza audio husika! Kwa sasa naamini ni kweli mabosi zake wamemuonea japo adhabu aliyopewa ni kama mchezaji aliyewekwa benchi huku mshahara ukiendelea kuingia kama kawaida. Hiyo barua ya kuhamishwa kituo Cha kazi imenukuu maneno sahihi ambayo watu wameamua kuyapa tafsiri mbaya ili ionekane RPC kakosea na saa nyingine ni ujanja wa kuwaaminisha raia kuwa polisi wapo makini na kesi husika kumbe Bado wanaendelea kimlinda afande aliyewatuma wabakaji.

Kama kweli polisi wapo siriasi na kesi hii na wamkamate afande aliyetuma watu wakafanye ulawiti na ubakaji.
 
Back
Top Bottom