Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Polisi hawana mamlaka ya kumuwajibisha raia yoyote, hiyo ni kazi ya Mahakama. Wao ni kusimamia sheria tu sio kingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tuDa Fatu kapata watetezi.....
Ipo mkuu nilisikiliza mtandao waXHio Audio iko wapi mkuu ?
Anyway it's all good.Ipo mkuu nilisikiliza mtandao waX
X sikumbuki kwa page ya nani?
Kama ingekua uzushi si ungesikia mwandishi wa habari wa gazeti la mwananchi amekamatwa kwa uchochezi?
Yeah Foe sure LegacyAnyway it's all good.
The Legacccyyyy 😊💥
Huenda mama alikua ameghafirikapia ndio akazungumza vile.Anyway it's all good.
The Legacccyyyy 😊💥
Unalaumu uamuzi wa Jeshi la Polisi huku hujui kama walisikilizishwa sauti au lah. Kwanini unalaumu huku ikiwa hujui? Yaani huna taarifa ya kile unacholalamikia hapa.Baada ya sintofahamu ya ripoti iliyotolewa na gazeti la mwananchi na kuinasibisha na kauli ya RPC dodoma,ghafla JESHI la polisi likaikana kauli hiyo na kumtengua u RPC.
Jeshi la polisi kwanza walitakiwa wadai UTHIBITISHO kutoka kwa gazeti hili kama kweli haya maneno RPC aliyasema,je polisi walifanya hivyo?
Kama polisi ni law enforces mbona mambo logic kama haya hayafuatwi katika kuwawajibisha wenzao?
Je, kama wanashindwa kufuata utaratibu sahihi katika kuwawajibisha wenzao unadhani WATAWEZA KUFUATA UTARATIBU SAHIHI KATIKA KUWAWAJIBISHA RAIA?
Pia, soma:
Raia tunafurahia RPC kutenguliwa je hatujui kama uamuzi huo wa polisi unaweza kutuathiri hata sisi kwa maana ulikuwa uamuzi wa kihisia na sio uamuzi wa kimantiki
MAgazeti tunayajua namna ambavyo ni hodari kwa kunukuu maneno wanayoyaona yatavutia biashara yao.
Je, polisi wana uhakika gani kama yale maneno yule RPC kayasema?
Hatujaona media yoyote ikiripoti na kuweka sauti ya yule mama RPC akiyazungumzwa yale yanayodaiwa.
POlisi wanapokanusha kwamba kauli hiyo sio ya jwshi la polisi kwani wapi huyo RPC kaisema kauli hiyo.
Kama waandishi ni waadilifu mbona hawajachapisha maneno ya RPC tuliyoyasikia wemyewe akisema kwamba HATA KAMA NI INASEMWA NI MALAYA HAKUSTAHIKI KUFANYIWA HIVYO?
Kama polisi wanashindwa kuwa na weledi baina yao,unadhani watakuwa na weledi kwa wananchi ?
Huyu mama anaonewa bure.
Nashangaa hawatuletei hiyo audio inayodaiwa.Hio Audio iko wapi mkuu ?
Polisi hawajakurupuka; aliyetenguliwa amejichanganya mwenyeweBaada ya sintofahamu ya ripoti iliyotolewa na gazeti la mwananchi na kuinasibisha na kauli ya RPC dodoma,ghafla JESHI la polisi likaikana kauli hiyo na kumtengua u RPC.
Jeshi la polisi kwanza walitakiwa wadai UTHIBITISHO kutoka kwa gazeti hili kama kweli haya maneno RPC aliyasema,je polisi walifanya hivyo?
Kama polisi ni law enforces mbona mambo logic kama haya hayafuatwi katika kuwawajibisha wenzao?
Je, kama wanashindwa kufuata utaratibu sahihi katika kuwawajibisha wenzao unadhani WATAWEZA KUFUATA UTARATIBU SAHIHI KATIKA KUWAWAJIBISHA RAIA?
Pia, soma:
Raia tunafurahia RPC kutenguliwa je hatujui kama uamuzi huo wa polisi unaweza kutuathiri hata sisi kwa maana ulikuwa uamuzi wa kihisia na sio uamuzi wa kimantiki
MAgazeti tunayajua namna ambavyo ni hodari kwa kunukuu maneno wanayoyaona yatavutia biashara yao.
Je, polisi wana uhakika gani kama yale maneno yule RPC kayasema?
Hatujaona media yoyote ikiripoti na kuweka sauti ya yule mama RPC akiyazungumzwa yale yanayodaiwa.
POlisi wanapokanusha kwamba kauli hiyo sio ya jwshi la polisi kwani wapi huyo RPC kaisema kauli hiyo.
Kama waandishi ni waadilifu mbona hawajachapisha maneno ya RPC tuliyoyasikia wemyewe akisema kwamba HATA KAMA NI INASEMWA NI MALAYA HAKUSTAHIKI KUFANYIWA HIVYO?
Kama polisi wanashindwa kuwa na weledi baina yao,unadhani watakuwa na weledi kwa wananchi ?
Huyu mama anaonewa bure.
Uko sahihi kabisa; huyu mtu hawezi kukurupuka; he is very close to Mama; almost 3rd to Mama kwenye hierarchy ya nchi kijeshi; Mama first; CDF second; IGP thirdwewe unaweza kuchunguza Kuliko IGP?ukiona hivyo IGP aliomba mahojiano yote sababu chombo cha habari kiliweka rekodi ya mahojiano.
Bila hivyo ungesikia mwandishi wa habari yuko polisi kwa uchochezi
.
😂😂Mwingine mwenye malalamiko nae aje aongee kabla sijaanza kujibu hoja zenu