kaka kutokana na mambo yanavyoendelea, washachoka na wao, wa maaji na taabaniHaijalishi ukubwa wa uwanja issue ni usalama muda wote wakati wa mchi inapoendelea au lolote linapotokea na hiyo ndiyo kazi ya wana usalama wakiwa kazini.Hakuna excuse katika suala la usalama.
Hayo mambo ya michezo braza usilazimishe kuyavisha sura za kisiasa,Watu wana hasira ndo ujue Sikukuu ya Muungano itakuwa na "ulinzi" uliotukuka.
Taifa kuna nyasi gani?kwanza Askari wanajiandaa kwa maandamano ya chm halafu uwanja wa Taifa hauna nyasi bandia,nyasi bandia zipo uhuru
Wabongo bwana ...mbona suala la Aquilina linashughulikiwa na mamlaka husika jamani.Ila sijapenda kuchelewa kwa Polisi kuingia kuwashughulikia mashabiki waliingia uwanjani jana usiku na kung'oa nyasi.HAHAAA LEO WASHANGAA TAASISI ZENU JINSI ZINAVYOFNYA KAZI "" MBONA HUJUSHANGAA AKWILINA ALIVYOUWAWA NAMPAKA LEO HII WALIOMUUWA HAWAJA WAJIBISHWA WANAKULA BATA TU ""
KAMA UMESHAANZA KUHOJI KUHUSU UTENDAJI WA HIZO MAMLAKA ZENU ...NA HAKIKA UTAKUWA UMESHAANZA KUPONA KIDOGO KIDOGO ""
Ni kweli kabisa.Uwanja wa Taifa hauna nyasi bandia, bandia ziko uhuru.
Uwanja wa Taifa utumike mchana kwani hauna uhakika wa kupata umeme muda wote.
Umeme unapokatika uwanjani usiku ni hatari kwa washabiki na wageni kiusalama kwani watu wenye tabia mbalimbali huwepo uwanjani na kuhatarisha usalama wa raia na mali zao.
Tafadhaki tafadhali, kutokana na uwezo wa nchi yetu katika upatikanaji wa umeme naomba MECHI ZICHEZWE MCHANA.
Najua ni mizuka tu kwa mashabaki lakini wasingeng'oa nyasi kule ni kuharibu pitch au sehemu ya kuchezea mpira.Polisi wakikimbia mvua mkuu na giza ....
Japo walioingia uwanjani hawakuwa na lengo la kufanya uharibifu ..
Ni mizuka tu na kama ripoti ikitoka umeharibika bhas tumepigwa tena kwenye marekebisho
Bado tuna tatizo la nani wa kuhudumia uwanja wa Taifa kwa viwango vinavyotakiwa pamoja na watumiaji hatuko katika viwango hivyo lakini bado kuna huduma hazipo makini ndani ya uwanja.Ustaarabu wetu bado uko chini sana, masinki ya kunawia mikono pia hujaa mikojo. Ninadhani uwanja umejengwa too advanced kwa kiwango chetu cha maendekeo
sasa ndio unasema nini ?? kumbe umeshaona madhaifu ya kipuuzi yaliyopo ktika mamlaka zenu...eti lina shughulikiwa kwahiyo mnataka kuliundia tume nakula hela za walipa kodi bure ilhali police aliyeuwa anajulikana !!?? then hoja yangu ilikuwa ni hii ''"" mbona hukutoa statement yoyote yakukemea vitendo viovu dhidi ya police waliopiga risasi angani kisha ikarejea chini nakupinda kona ikaingia kwenye daladala (kwa mujibu wa mambo sasa )ika muuwa mtu "". nikitegemea kuona kauli yko nzito tokana na uwepo wa liletokea ..kama ambavyo umeweza kufnya ktika huu Uzi uliouleta.....Wabongo bwana ...mbona suala la Aquilina linashughulikiwa na mamlaka husika jamani.Ila sijapenda kuchelewa kwa Polisi kuingia kuwashughulikia mashabiki waliingia uwanjani jana usiku na kung'oa nyasi.
mkuu taifa si nyasi bandia zile ni halisi kabisa bandia ziko uhuruKufuatia mvua kubwa na umeme kukatika uwanja wa Taifa wakati wa mechi kati ya Simba ya Tanzania na Al Misry kutoka Misri mechi ilisimama kwa muda lakini wakati huo huo baadhi ya mashabiki waliingia eneo la kuchezea mpira yaani pitch na kuanza kucheza kwenye maji yaliyojaa uwanjani na wengine kudiriki mpaka kung'oa majani yaliyowekwa juzi tu na Serikali.
Najiuliza tu mechi kama hizo huwa tuna walinda usalama wa kutosha pale uwanjani kuhakikisha kuwa hakuna mtu anayevunja amani lakini niliona mpaka vijana wanaingia uwanjani na kuanza kung'oa majani hakuna polisi aliyekuwa karibu mpaka baada ya dakika kadhaa tena uharibifu umeshafanyika ndiyo polisi wanaingia uwanjani kuwatoa na kuwakamata baadhi yao.
Vyombo vya ulinzi iwe mvua iwe jua mnatakiwa kuwa alert muda wote, kwa jana pale ni hasara kwa Taifa kwasababu lazima marekebisho yafanyike tena kwa yale maeneo ambayo majani yameng'olewa.
Na wewe mtanzania unayeingia uwanjani kwa lengo la kung'oa majani hasa maana yake ni nini? Kwanini usilinde uwanja wako tena wa kimataifa.
Tuwe na tabia ya kulinda mali za nchi
Sidhani kama waling'oa nyasii make ulikuwa mwendo wa kutelezaa na kuruka sarakasiNajua ni mizuka tu kwa mashabaki lakini wasingeng'oa nyasi kule ni kuharibu pitch au sehemu ya kuchezea mpira.
Siasa ina cut-accross, hakuna kinachoachwa kwenye siasa. Siasa zinaathiri michezo, uchumi, n.k. Mfano South Africa ya Apartheid ilisusiwa/vikwazo kwenye uchumi mpaka michezo.Hayo mambo ya michezo braza usilazimishe kuyavisha sura za kisiasa,