Polisi walikuwa wapi uwanja wa Taifa mpaka mashabiki wanaingia uwanjani na kung'oa nyasi bandia?

Polisi walikuwa wapi uwanja wa Taifa mpaka mashabiki wanaingia uwanjani na kung'oa nyasi bandia?

Haijalishi ukubwa wa uwanja issue ni usalama muda wote wakati wa mchi inapoendelea au lolote linapotokea na hiyo ndiyo kazi ya wana usalama wakiwa kazini.Hakuna excuse katika suala la usalama.
kaka kutokana na mambo yanavyoendelea, washachoka na wao, wa maaji na taabani
 
Polisi wakikimbia mvua mkuu na giza ....

Japo walioingia uwanjani hawakuwa na lengo la kufanya uharibifu ..

Ni mizuka tu na kama ripoti ikitoka umeharibika bhas tumepigwa tena kwenye marekebisho
 
Ustaarabu wetu bado uko chini sana, masinki ya kunawia mikono pia hujaa mikojo. Ninadhani uwanja umejengwa too advanced kwa kiwango chetu cha maendeleo
 
Tanzania ya viwanda polisi wako bize na kujenga viwanda vya utekaji
 
HAHAAA LEO WASHANGAA TAASISI ZENU JINSI ZINAVYOFNYA KAZI "" MBONA HUJUSHANGAA AKWILINA ALIVYOUWAWA NAMPAKA LEO HII WALIOMUUWA HAWAJA WAJIBISHWA WANAKULA BATA TU ""

KAMA UMESHAANZA KUHOJI KUHUSU UTENDAJI WA HIZO MAMLAKA ZENU ...NA HAKIKA UTAKUWA UMESHAANZA KUPONA KIDOGO KIDOGO ""
Wabongo bwana ...mbona suala la Aquilina linashughulikiwa na mamlaka husika jamani.Ila sijapenda kuchelewa kwa Polisi kuingia kuwashughulikia mashabiki waliingia uwanjani jana usiku na kung'oa nyasi.
 
Uwanja wa Taifa hauna nyasi bandia, bandia ziko uhuru.
Uwanja wa Taifa utumike mchana kwani hauna uhakika wa kupata umeme muda wote.
Umeme unapokatika uwanjani usiku ni hatari kwa washabiki na wageni kiusalama kwani watu wenye tabia mbalimbali huwepo uwanjani na kuhatarisha usalama wa raia na mali zao.
Tafadhaki tafadhali, kutokana na uwezo wa nchi yetu katika upatikanaji wa umeme naomba MECHI ZICHEZWE MCHANA.
Ni kweli kabisa.
 
Polisi wakikimbia mvua mkuu na giza ....

Japo walioingia uwanjani hawakuwa na lengo la kufanya uharibifu ..

Ni mizuka tu na kama ripoti ikitoka umeharibika bhas tumepigwa tena kwenye marekebisho
Najua ni mizuka tu kwa mashabaki lakini wasingeng'oa nyasi kule ni kuharibu pitch au sehemu ya kuchezea mpira.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Ustaarabu wetu bado uko chini sana, masinki ya kunawia mikono pia hujaa mikojo. Ninadhani uwanja umejengwa too advanced kwa kiwango chetu cha maendekeo
Bado tuna tatizo la nani wa kuhudumia uwanja wa Taifa kwa viwango vinavyotakiwa pamoja na watumiaji hatuko katika viwango hivyo lakini bado kuna huduma hazipo makini ndani ya uwanja.

Kama eneo la maji machafu na masafi yasingekuwa yana block hao watumiaji wasingekojoa katika maeneo yasiyo rasmi.
 
Wabongo bwana ...mbona suala la Aquilina linashughulikiwa na mamlaka husika jamani.Ila sijapenda kuchelewa kwa Polisi kuingia kuwashughulikia mashabiki waliingia uwanjani jana usiku na kung'oa nyasi.
sasa ndio unasema nini ?? kumbe umeshaona madhaifu ya kipuuzi yaliyopo ktika mamlaka zenu...eti lina shughulikiwa kwahiyo mnataka kuliundia tume nakula hela za walipa kodi bure ilhali police aliyeuwa anajulikana !!?? then hoja yangu ilikuwa ni hii ''"" mbona hukutoa statement yoyote yakukemea vitendo viovu dhidi ya police waliopiga risasi angani kisha ikarejea chini nakupinda kona ikaingia kwenye daladala (kwa mujibu wa mambo sasa )ika muuwa mtu "". nikitegemea kuona kauli yko nzito tokana na uwepo wa liletokea ..kama ambavyo umeweza kufnya ktika huu Uzi uliouleta.....
 
Kufuatia mvua kubwa na umeme kukatika uwanja wa Taifa wakati wa mechi kati ya Simba ya Tanzania na Al Misry kutoka Misri mechi ilisimama kwa muda lakini wakati huo huo baadhi ya mashabiki waliingia eneo la kuchezea mpira yaani pitch na kuanza kucheza kwenye maji yaliyojaa uwanjani na wengine kudiriki mpaka kung'oa majani yaliyowekwa juzi tu na Serikali.

Najiuliza tu mechi kama hizo huwa tuna walinda usalama wa kutosha pale uwanjani kuhakikisha kuwa hakuna mtu anayevunja amani lakini niliona mpaka vijana wanaingia uwanjani na kuanza kung'oa majani hakuna polisi aliyekuwa karibu mpaka baada ya dakika kadhaa tena uharibifu umeshafanyika ndiyo polisi wanaingia uwanjani kuwatoa na kuwakamata baadhi yao.

Vyombo vya ulinzi iwe mvua iwe jua mnatakiwa kuwa alert muda wote, kwa jana pale ni hasara kwa Taifa kwasababu lazima marekebisho yafanyike tena kwa yale maeneo ambayo majani yameng'olewa.

Na wewe mtanzania unayeingia uwanjani kwa lengo la kung'oa majani hasa maana yake ni nini? Kwanini usilinde uwanja wako tena wa kimataifa.

Tuwe na tabia ya kulinda mali za nchi
mkuu taifa si nyasi bandia zile ni halisi kabisa bandia ziko uhuru
 
Wabongo bwana.
mada nyingine mshaanza bla bla za Ccm mara Chadema....
Hivi ni kitu gani hasa kinawalimbua hivi na siasa..

Mnachoshaaaaaa!!!!!!
 
Najua ni mizuka tu kwa mashabaki lakini wasingeng'oa nyasi kule ni kuharibu pitch au sehemu ya kuchezea mpira.
Sidhani kama waling'oa nyasii make ulikuwa mwendo wa kutelezaa na kuruka sarakasi
 
Sidhan kama kosa lipo kwa jeshi LA polisi, sababu watu wako wengi mno na wakivamia uwanja ni vigumu mno kuzuiliwa na mapolisi, Hata ulaya kwenyew tunaona watu wakivamia viwanja na polisi wao wakishindwa kuwadhibiti
 
Hayo mambo ya michezo braza usilazimishe kuyavisha sura za kisiasa,
Siasa ina cut-accross, hakuna kinachoachwa kwenye siasa. Siasa zinaathiri michezo, uchumi, n.k. Mfano South Africa ya Apartheid ilisusiwa/vikwazo kwenye uchumi mpaka michezo.
 
Back
Top Bottom