muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,202
walianza na vitiHawa ni Simba !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
walianza na vitiHawa ni Simba !
Chura ndio anapenda kuchezea majiHawa ni Simba !
Hao waliongia dimbani ni wadogo mithili ya sindano kiasi kwamba hawaonekani? Hata kama hajafika lakini anaufahamu kupitia luningani.Mkuu hivi ushafika ata kwenye huo uwanja wa taifa? Tuanzie hapo kwanza maana kama ushafika basi utakuwa unafahamu ukubwa wake, haya jiulize ni askari wangapi ambao wanaweza kuzunguka uwanja ili watu wasipite na istoshe tatizo kubwa ni umeme ulipokatika na mvua kunyesha
Me sijakubali uharibifu uliotokea, nachosema ni kwamba ule uwanja kwanza ni mkubwa, pili askari ni wachache, tatu ile ilitokea ni emergency, we fikilia umeme umekatika, mvua inanyesha na namba ya askari ni ndogo ulitegemea wadhibiti vipi hao watu kwenye giza?Hao waliongia dimbani ni wadogo mithili ya sindano kiasi kwamba hawaonekani? Hata kama hajafika lakini anaufahamu kupitia luningani.
Uharibifu haukubariki kwa visingizio vyovyote.
Kwa mazingira hayo ya emergence ndiyo umakini huongezeka. Kwa mtu makini katika intelligence hapo hakupi excuse.Me sijakubali uharibifu uliotokea, nachosema ni kwamba ule uwanja kwanza ni mkubwa, pili askari ni wachache, tatu ile ilitokea ni emergency, we fikilia umeme umekatika, mvua inanyesha na namba ya askari ni ndogo ulitegemea wadhibiti vipi hao watu kwenye giza?
Sio kweli mkuu, sema tu tatizo lishatokea na hakuna ambacho kinaweza kufanywa kuepusha hili, angalau kwa sekunde mbili amua kusema ukweli na sio kufata hisia, kama ingekuwa ni jambo la mara kwa mara sawa wangekuwa makini zaidiKwa mazingira hayo ya emergence ndiyo umakini huongezeka. Kwa mtu makini katika intelligence hapo hakupi excuse.
Sio hoja hiyoMkuu hivi ushafika ata kwenye huo uwanja wa taifa? Tuanzie hapo kwanza maana kama ushafika basi utakuwa unafahamu ukubwa wake, haya jiulize ni askari wangapi ambao wanaweza kuzunguka uwanja ili watu wasipite na istoshe tatizo kubwa ni umeme ulipokatika na mvua kunyesha
....wakipiga risasi hewani mnalia lia !polisi ni wakakamavu zaidi kwenye mikutano na maandamano ya wapinzani
....wakipiga risasi hewani mnalia lia !polisi ni wakakamavu zaidi kwenye mikutano na maandamano ya wapinzani
....wakipiga risasi hewani mnalia lia !polisi ni wakakamavu zaidi kwenye mikutano na maandamano ya wapinzani