TUNTEMEKE
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 4,587
- 580
- Thread starter
- #21
Watu waliofilisika sera kichwani huwa wanachoka kuishi kwa amani. Watu wanaopandikiza mbegu ya udini, sijui uislamu, ukatoliki na kadha wa kadha ni watu waliochoka na amani tuliyonayo hapa nchini. Ninawakumbusha kwamba ghasia zitakapoanza kama zilivyo katika nchi zingine kama Somalia na kwingineko ni wao, baba zao, mama zao, shangazi zao, kaka na dada zao ndio watakaokuwa wahanga. Si waislamu ama wakristo ama wabuda watakaoathirika. Zaidi ya yote ninyi mnaoendekeza udini mkumbuke kwamba wanaowachochea mgombane hawataathiriwa na vurugu zitakazotokea. Mkichinjana wao watakuwa salama salimini. Hivi mnapochochea roho ya udini mnasahau kwamba Tanzania hii haina dini rasmi? Nionavyo mimi yapo masuala muhimu ya kujadili kuliko udini. Umaskini ni tatizo kubwa mno kwa hiyo kwa watu wenye busara wangetumia muda kubuni njia za kupambana nao ili hatimaye tuutokomeze ama walau tuupunguze. Iilivyo bila kigugumizi watu wanaojadili mambo ya udini hapa ni watu wenye uelewa finyu wa dini na wala hawaelewi maana ya dini hata kidogo. Hawa ni mashabiki wa wanasiasa ambao hawajali kufanya, kusema ama kumtumia yeyote kutimiza malengo yao. Hapa Arusha mabomu na risasi zilipotikisa jiji wakubwa hao wanaochochea na kutumia udini hawakuumizwa wala hawajafiwa na jamaa zao. Think about this and above all, seek and maintain PEACE before you lose it!
I dont think if the person with litle bit of brain can sepeak irrelavant things like that, hivi Slaa na mmeo Makamba nani ana akili, think before you can say something nafikiri hata uwezo wako wa kufikiri achana na kuelewa ni mdogo sana , I guess wewe ni kati ya wale watu waliopigika na maisha tofauti tu unaweza kuongea kiingereza, ccm watakutumia kama condom wakimaliza kazi zao wanaondoka wewe unasema ccm damu hivi wewe ni polisi au mgambo and for ur inforamation tunaandamana tz yote next month na utabaki peke yako, tupo 42 million nao tukitoa laki 3 wajinga kama wewe tuna baki wangapi?? soma alama za nyakati ccm is dying a natural death the same applies to CUF