Polisi wamefunga account ya mtuhumiwa

Polisi wamefunga account ya mtuhumiwa

Kongi

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
440
Reaction score
117
Naombeni msaada wa kisheria juu ya hili.
Ndugu yangu kafungiwa account yake ya bank kwa amri ya polisi. Kisa katuhumiwa kuiba hela katika kampuni anayofanya kazi.

Je kisheria polisi wana mamlaka hayo ya kumfungia mtu bank account na kushikilia mali zake kisa tu katuhumiwa kuibia kampuni hela??
 
Naombeni msaada wa kisheria juu ya hili.
Ndugu yangu kafungiwa account yake ya bank kwa amri ya polisi. isa ni kutuhumiwa aliibia kampuni hela.

Je kisheria polisi wana mamlaka hayo ya kumfungia mtu bank account na kushikilia mali zake kisa tu katuhumiwa kuibia kampuni hela??

braza ni bank gani hiyo?!?! polisi hawawezi funga akaunt ya mteja, ni amri ya mahakama ndio inaweza zuia mteja kutransact account yake.
 
hakuna haki tanzania mkuu,na duniani kwa ujumla.sijui sheria inasemaje ila katika masuala yanayohusu pesa,sikuzote mwenye pesa ndio sheria.hakuna cha zaidi
 
braza ni bank gani hiyo?!?! polisi hawawezi funga akaunt ya mteja, ni amri ya mahakama ndio inaweza zuia mteja kutransact account yake.

Ni CRDB ndugu. Hatua zipi tunaweza chukua kufungua account na kurejesha mali polisi wanazoshikilia??
 
naomba nijue jina la hiyo bank. akaunt inafungwa 1) kwa ridhaa ya mteja mwenyewe. 2) kwa ridhaa ya bank e.g mteja anajihusisha na money laundering, 3) kwa amri ya mahakama kwa ajili ya public interest.
 
Ni CRDB ndugu. Hatua zipi tunaweza chukua kufungua account na kurejesha mali polisi wanazoshikilia??

ni CRDB kweli mkuu? waulize sababu za kufunga akaunt yako mkuu, wana hamu na kesi
 
naomba nijue jina la hiyo bank. akaunt inafungwa 1) kwa ridhaa ya mteja mwenyewe. 2) kwa ridhaa ya bank e.g mteja anajihusisha na money laundering, 3) kwa amri ya mahakama kwa ajili ya public interest.

Hapa unachosema ni kwamba polisi wanaweza kufunga akaunti ya mkteja iwapo wataiconvince bank kukubaliana nao. Iwapo polisi wamewaambia bank kuwa mteja wao anaitumia akaunti hiyo kwa wizi, bank inaweza kuwa esily convinced kwa sababu ni rahisi kuwaamini polisi kuliko mteja wao.

Cha msingi hapa ni kujua njia mbalimbali za kufanya ili akaunti ifunguliwe.

Njia zifuatazo zinaweza kufaa:
1. Kufungua kesi mahakamani
2. Kuongea na senior management ya bank na kuonyesha vidhibiti mbalimbali vya kipato cha mteja.
3. Kutumia "akili ya kuzaliwa"
 
Back
Top Bottom