Polisi wamemdhihirishia Rais na CCM kuwa hawana uwezo wa kuishinda CHADEMA bila wao

Polisi wamemdhihirishia Rais na CCM kuwa hawana uwezo wa kuishinda CHADEMA bila wao

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Kulikuwa na haja gani kwa jeshi la polisi kutumia gharama kubwa kufanya gwaride nchi nzima kwa mwezi mzima, na kutumia silaha za kivita kuja kumkamata Mbowe asubuhi na kumwachia jioni. Upuuzi!

Kulikuwa na haja gani ku deploy polisi zaidi ya elfu moja DAR kuleta magari ya washawasha kutoka mikoani na kuleta taharuki kwa jamii kuja kumkamata mtu mmoja Lissu akiwa nyumbani kwake amelala. Upuuzi!

Kulikuwa na haja gani kupeleka idadi kubwa ya magari ya polisi na polisi kuzingira kanisa Katoliki kwa ajili ya kumkamata mtu mmoja Mnyika ambaye mwanzo walisema hana umuhimu kwao. Upuuzi!

Kulikuwa na haja gani kupoteza nauli ya ndege ya watu wanne kutoka KIA - DAR kumfuatilia mtu mmoja Lema ambaye alikuwa anajileta mwenyewe Dar. Upuuzi!

Pia soma:
Muliro: Wanaoshangaa kuwaona Askari Mtaani wakiwa na mitutu, wana vimelea vya uhalifu

Kama jeshi lina kitengo cha intelijensia, kulikuwa na haja gani kumdanganya Makonda kuwa Mbowe yupo Arusha ilihali ni uongo. Aibu na Upuuzi!

Mlikuwa na nia gani na mtoto wa Mbowe Nicole kumkamata na kumficha Oystabey polisi baadae kukana hadi Kikeke alipotaja namba za gari lililomteka. Upuuzi!

Kulikuwa na haja gani kupeleka polisi na magari ya vita kuzingira nyumba ya Balozi Slaa ambaye ni mgonjwa jana kwa kesi isiyohusiana na maandamano. Upuuzi!

Jeshi la polisi limetumia nguvu kubwa kupita kiasi kuja kupambana na watu wasio na silaha yeyote zaidi ya midomo yao.

Kifupi, lengo la Jeshi la polisi lilikuwa si kuzuia Maandamano bali kumuonyesha Rais bila wao hana uwezo wowote kisiasa na kimamlaka, limemdhalilisha Rais, limeonyesha kuwa Samia hana uwezo wa kushawishi wapiga kura pasipo kuwatumia polisi.

It was a cheap police show up for nothing.
 
Kulikuwa na haja gani ku deploy polisi zaidi ya elfu moja DAR kuleta magari ya washawasha kutoka mikoani na kuleta taharuki kwa jamii kuja kumkamata mtu mmoja Lissu akiwa nyumbani kwake amelala

Hakika umefikiri nje ya box, chama dola kongwe CCM wasome bandiko hili na kukubali ukweli, maana kuna siku wanaweza wakajiunga na waandamanaji
 
Kulikuwa na haja gani kwa jeshi la polisi kutumia gharama kubwa kufanya gwaride nchi nzima kwa mwezi mzima, na kutumia silaha za kivita kuja kumkamata Mbowe asubuhi na kumwachia jioni. UPUUZI.

Kulikuwa na haja gani ku deploy polisi zaidi ya elfu moja DAR kuleta magari ya washawasha kutoka mikoani na kuleta taharuki kwa jamii kuja kumkamata mtu mmoja Lissu akiwa nyumbani kwake amelala. UPUUZI.

Kulikuwa na haja gani kupeleka idadi kubwa ya magari ya polisi na polisi kuzingira kanisa Katoliki kwa ajili ya kumkamata mtu mmoja Mnyika ambaye mwanzo walisema hana umuhimu kwao. UPUUZI.

Kulikuwa na haja gani kupoteza nauli ya ndege ya watu wanne kutoka KIA - DAR kumfuatilia mtu mmoja Lema ambaye alikuwa anajileta mwenyewe Dar. UPUUZI.

Kama jeshi lina kitengo cha intelijensia, kulikuwa na haja gani kumdanganya Makonda kuwa Mbowe yupo Arusha ilihali ni uongo. AIBU na UPUUZI.

Mlikuwa na nia gani na mtoto wa Mbowe Nicole kumkamata na kumficha Oystabey polisi baadae kukana hadi Kikeke alipotaja namba za gari lililomteka. UPUUZI.

Kulikuwa na haja gani kupeleka polisi na magari ya vita kuzingira nyumba ya Balozi Slaa ambaye ni mgonjwa jana kwa kesi isiyohusiana na maandamano. UPUUZI.

Jeshi la polisi limetumia nguvu kubwa kupita kiasi kuja kupambana na watu wasio na silaha yeyote zaidi ya midomo yao.

Kifupi, Lengo la Jeshi la polisi lilikuwa si kuzuia Maandamano bali kumuonyesha Rais bila wao hana uwezo wowote kisiasa na kimamlaka, limemdhalilisha Rais, limeonyesha kuwa Samia hana uwezo wa kushawishi wapiga kura pasipo kuwatumia polisi.

It was a cheap police show up for nothing.

Serikali walikosea sana. Wangewaacha waandamane. Wawape ulinzi.
 
kwani CHADEMA ni maadui mpaka washinde, CHADEMA ni Baba zetu dada zetu kaka zetu kwa kifupi WATANZANIA WENZETU unashinda nini sasa?
 
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.
 
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.
 
Back
Top Bottom