Jumaaofficial
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 250
- 209
- Thread starter
-
- #41
Sugu anahusika vipi?Sugu angekuwa na akili timamu huu muda ulikuwa ndio wa kuchukua mtoto wake kutoka kwa huyu kichaa.... kuna ushahidi mwingi wa kuthibitisha huyu kichaa hana uwezo wa kumlea mtoto
Kwani mi nimetaja??huyohuyo msiyempenda najua ushamwelewaNani huyo mkuu?maana sijataja mtu
Mmh hiyo " expansion joints"
Kwani mi nimetaja??huyohuyo msiyempenda najua ushamwelewa
Naona una expansion joint kwenye ubongo wako
Aaah nataman kwenye hizo simu wangekuwepo na wale watoa ubuyu wa Hide my ID
Nahisi wendawazimu wa mitandaoniKosa nini
Ana muda wa kulea sasa?? Hana mapenzi na mtoto na hana mke mtoto akalelewe na kimada???Sugu angekuwa na akili timamu huu muda ulikuwa ndio wa kuchukua mtoto wake kutoka kwa huyu kichaa.... kuna ushahidi mwingi wa kuthibitisha huyu kichaa hana uwezo wa kumlea mtoto