Jumaaofficial
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 250
- 209
- Thread starter
- #41
Sugu anahusika vipi?Sugu angekuwa na akili timamu huu muda ulikuwa ndio wa kuchukua mtoto wake kutoka kwa huyu kichaa.... kuna ushahidi mwingi wa kuthibitisha huyu kichaa hana uwezo wa kumlea mtoto