Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,108
- 4,751
Tunaomba yako kama unayoWatanzania ni wanafiki sijapata ona nchi yoyote.
YouTube zimejaa videos kibao watu wanazaa, mnajifanya utamaduni wakati mmeoza.
Polisi hawana kazi za kufanya. Watu wasiojulikana kila siku wameshindwa kuwakamata wanahangaika nawatu namaisha yao.
Kuonesha uke wake mubashar! Katiba inakataza.Kosa nini
Msipende kuiga iga kila jambo afanyalo MzunguWatanzania ni wanafiki sijapata ona nchi yoyote.
YouTube zimejaa videos kibao watu wanazaa, mnajifanya utamaduni wakati mmeoza.
Polisi hawana kazi za kufanya. Watu wasiojulikana kila siku wameshindwa kuwakamata wanahangaika nawatu namaisha yao.
The fact is, hakuna afadhali yoyote kwa watz kwa kumponda Faiza mana, watz wenyewe wameoza! Yani hamna wa kumkosoa faiza kwa reasons za “utamaduni” .. no one.Msipende kuiga iga kila jambo afanyalo Mzungu
Ova
Watanzania ni wanafiki sijapata ona nchi yoyote.