Polisi wamezichukua simu za Faiza Ally kwa uchunguzi

Watanzania ni wanafiki sijapata ona nchi yoyote.
YouTube zimejaa videos kibao watu wanazaa, mnajifanya utamaduni wakati mmeoza.
Polisi hawana kazi za kufanya. Watu wasiojulikana kila siku wameshindwa kuwakamata wanahangaika nawatu namaisha yao.
 
Tunaomba yako kama unayo
 
Mi mwanzo nlikua nalitamani haasa nakuliona linamvuuuuuuto,,!!! Tangia nilivoina hio papuchi yake ktk picha siku nzima nilishinda bila kula[emoji13][emoji13]
Yaani nimelikinai haaasaa[emoji13][emoji13]
 
Mwanamke wa ajabu sana huyo anajiona dunia nzima ye ndio kazaa kwanini asiwastiri wenzie.
 
Watanzania ni wanafiki sijapata ona nchi yoyote.
YouTube zimejaa videos kibao watu wanazaa, mnajifanya utamaduni wakati mmeoza.
Polisi hawana kazi za kufanya. Watu wasiojulikana kila siku wameshindwa kuwakamata wanahangaika nawatu namaisha yao.
Msipende kuiga iga kila jambo afanyalo Mzungu

Ova
 
The fact is, hakuna afadhali yoyote kwa watz kwa kumponda Faiza mana, watz wenyewe wameoza! Yani hamna wa kumkosoa faiza kwa reasons za “utamaduni” .. no one.
 
Watanzania ni wanafiki sijapata ona nchi yoyote.
YouTube zimejaa videos kibao watu wanazaa, mnajifanya utamaduni wakati mmeoza.
Polisi hawana kazi za kufanya. Watu wasiojulikana kila siku wameshindwa kuwakamata wanahangaika nawatu namaisha yao.

Unafiki wa Watanzania ni upi in this context? Je, hayo yote unayoyaona huko youtube yako compatible na jamii yako (Tanzania)? Ndiyo nyie inatakiwa mjumlishwe kwenye hili la huyu chizi anayedhalilisha wanawake.
 
Halafu kako kasanii uchwara ka kike kamoja ati kanamtetea kafanya sawa kwani hata Ulaya ni kawaida. Bongo movie! Nilishachoma filamu zao zote. Hovyoo!
 
Back
Top Bottom