PostGE2025 Polisi wamkamata Mwanachama wa CHADEMA kwa tuhuma za “Kuhamasisha uhalifu kupitia kundi la WhatsApp”

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
TAARIFA KWA UMMA​
Novemba 12,2025, Jeshi la Polisi lingependa kujulisha kuwa, lilimkamata na linaendelea kumshikilia Ambrose Leonce Dede, Mnyaruru, Mlinzi wa Kampuni ya Ulinzi ya African Safari na Mwanachama wa Chama cha Chadema kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha uhalifu nchini kupitia kundi la whatsApp lijulikanalo kwa jina la SAUTI YA WATANZANIA.

Mtuuminiwa alikamatwa akiwa maeneo ya njia panda ya Makiungu Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida.
Kulingana na ushahidi uliokusanywa kabla na baada ya kukamatwa kwake, unaonyesha katika kundi hilo yupo pamoja na wasimamizi wengine wa kundi hilo la whatsApp (Group Admin’s) na wanashirikiana na baadhi ya watu waliopo nchini na wengine wakiwa nje ya mipaka ya nchi yetu.

Alioshirikiana nao kupanga, kuendelea kupanga na kuhamasisha uhalifu nchini kwa mwavuli wa maandamano ya amani ni pamoja na wanaotumia namba zifutazo;

+44746913055
+46732533609
+1(240)423-3331
+44784821186
+1(649)9348015
+255758000000
+255655684245

Uchunguzi unakamilishwa ikiwa ni pamoja na kuwapata wengine anaoshiriana nao na wanatumia namba ambazo hatujazitaja kwasababu za kiuchunguzi na ukamataji. Baada ya kukamilisha hayo hatua zingine za kisheria zitafuata.

Jeshi la Polisi, linatoa wito kwa wananchi kuepuka kujihusisha na makundi ya mawasiliano mtandaoni yanayoendeshwa na watu waliopanga na wanaendelea kupanga kufanya uhalifu nchini kwa mwavuli wa maandamano ya amani au kwasababu nyingine yoyote ile kwani huo ni uhalifu na hatutasita kuwachukulia hatua za kisheria bila kumwonea muhali yeyote yule atakayebainika.

Aidha, ni vizuri kila mmoja wetu kutambua kuwa, watu wa aina hiyo wanaopanga na kuhamasisha uvunjifu wa amani, wanaoumia ni sisi Watanzania wakati wao na familia zao hawapati madhara yoyote na wanaendelea kunufaika na fedha wanazolipwa kupitia makundi ya mawasiliano mtandaoni wanayoyaanizisha na kuhamasisha uvunjifu wa amani nchini.
1763022888700.png

1763022944967.png
 
Mbwa ninyi CCM na Polisi wenu, Maandamano ni haki yetu ya kikatiba matako ninyi. Hamuwezi kutuzuia kwa sababu SAMUYA anaogopa. Ni haki yetu, na safari hii hatukubali tuonewe.
 
Opt kutumia Zangi, hatutawaambia tena. Kujiunga haihitaji taarifa yako yeyote binafsi, ukishajiunga kwa taarifa bandia utapewa namba bandi ya kutumia ambayo inaitwa zangi number... Nu platform kama ilivyo WhatsApp but very secured, chats zenu hazihifadhiwi katika server bali katika simu zenu baina yenu mnao wasiliana..
 
TAARIFA KWA UMMA​
Novemba 12,2025, Jeshi la Polisi lingependa kujulisha kuwa, lilimkamata na linaendelea kumshikilia Ambrose Leonce Dede, Mnyaruru, Mlinzi wa Kampuni ya Ulinzi ya African Safari na Mwanachama wa Chama cha Chadema kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha uhalifu nchini kupitia kundi la whatsApp lijulikanalo kwa jina la SAUTI YA WATANZANIA.

Mtuuminiwa alikamatwa akiwa maeneo ya njia panda ya Makiungu Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida.
Kulingana na ushahidi uliokusanywa kabla na baada ya kukamatwa kwake, unaonyesha katika kundi hilo yupo pamoja na wasimamizi wengine wa kundi hilo la whatsApp (Group Admin’s) na wanashirikiana na baadhi ya watu waliopo nchini na wengine wakiwa nje ya mipaka ya nchi yetu.

Alioshirikiana nao kupanga, kuendelea kupanga na kuhamasisha uhalifu nchini kwa mwavuli wa maandamano ya amani ni pamoja na wanaotumia namba zifutazo;

+44746913055
+46732533609
+1(240)423-3331
+44784821186
+1(649)9348015
+255758000000
+255655684245

Uchunguzi unakamilishwa ikiwa ni pamoja na kuwapata wengine anaoshiriana nao na wanatumia namba ambazo hatujazitaja kwasababu za kiuchunguzi na ukamataji. Baada ya kukamilisha hayo hatua zingine za kisheria zitafuata.

Jeshi la Polisi, linatoa wito kwa wananchi kuepuka kujihusisha na makundi ya mawasiliano mtandaoni yanayoendeshwa na watu waliopanga na wanaendelea kupanga kufanya uhalifu nchini kwa mwavuli wa maandamano ya amani au kwasababu nyingine yoyote ile kwani huo ni uhalifu na hatutasita kuwachukulia hatua za kisheria bila kumwonea muhali yeyote yule atakayebainika.

Aidha, ni vizuri kila mmoja wetu kutambua kuwa, watu wa aina hiyo wanaopanga na kuhamasisha uvunjifu wa amani, wanaoumia ni sisi Watanzania wakati wao na familia zao hawapati madhara yoyote na wanaendelea kunufaika na fedha wanazolipwa kupitia makundi ya mawasiliano mtandaoni wanayoyaanizisha na kuhamasisha uvunjifu wa amani nchini.
Naona pana namba za UK, Sweden na Canada/Marekani hapo.
 
Back
Top Bottom