Polisi wamuachia Zitto Kabwe baada ya kumkamata kwa tuhuma za kutoa taarifa za vitisho

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Jeshi la Polisi Mkoa Lindi, limemuachia Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT - Wazalendo, Zitto Kabwe baada ya kumkamata kwa muda kwa tuhuma za kutoa taarifa za vitisho katika mkutano wake wa hadhara uliofanyika Tunduru mkoani Ruvuma.

Usiku wa kuamkia leo Jumatatu Julai 14, 2025 polisi takribani watano walimkamata Zitto katika hoteli aliyofikia Wilaya Lindi.

Soma Pia: Zitto ashikiliwa na Polisi usiku wa manane Lindi

Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu Julai 14, 2025 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, John Imori amesema Zitto alikamatwa kutokana na hotuba yake ya Tunduru aliyotamka, “polisi yeyote atakayebeba kura bandia mwaka huu kama si yeye, mke wake au mtoto wake tutamalizana naye."
 
Alichelewa kukimbilia Ujeruman?
 

Set, action, ( Bongo movie )
 
🙂 tufanye kaachiwa masaa 24 baada ya kuanza zoezi la kulinda kura, akakuta matokeo yameshatangazwa anafanyaje hapo! Maswahiba bwana...
 
Drama
 
Sijasema ni kwa upande wako fala, acha kiherehere we shujaa fala
Fala mama yako matako wa-head wewe ng'ombe kibudu kenge mmoja kabisa mbuzi kasoro mkiwa tumbafu
 
maigizo, kwa matamshi haya ya zito kama ingelikuwa chadema asingelitoka. angalia watu wanasafiri wanazuiwa na kuzushiwa kesi

sikiliza dakika ya 59..... matamshi makali

View: https://youtu.be/Bns5k1B9e_8
 
Fala mama yako matako wa-head wewe ng'ombe kibudu kenge mmoja kabisa mbuzi kasoro mkiwa tumbafu

Upo sahihi, ila dalili ya hasira ni kwamba umeelewa ulichoambiwa ndugu, shukrani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…