Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hivi uchaguzi ni ugomvi?? Habari nilizozipata sasa hivi ni kwamba, askari polisi kibao wameingizwa Dar na wamepelekwa Kurasini, kisa eti kuna vurugu!!! Hii wadau imekaaje? Source: a very close friend of mine na ambaye ni mmoja wa askari waliopo kurasini, najaribu kumtafuta askari mwingine kutoka kambi ya Kange- Tanga