GE2025 Polisi wana jukumu la kulinda waandamanaji na sio kuwapa vitisho

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
POLISI WANA JUKUMU LA KULINDA WAANDAMANAJI NA SIO KUWAPA VITISHO.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

1. Kupiga kura ni haki na kuandamana ni haki.

2. Kama wapiga kura watalindwa basi hata waandamanaji wana haki ya kulindwa.

3. Madai ya waandamanaji mengi yanahoja na yanahitaji kufanyiwa kazi.

4. Ni uhalifu kuzuia haki za watu wengine ikiwemo kuzuia waandamanaji.
Kama ilivyo uhalifu kuzuia wapiga kura wasipige kura

5. Polisi hawana haki ya kufanya uhalifu kwa kuzuia haki za watu wengine. Majukumu yao ni kulinda watu na mali zao. Kusimamia na ku- enforce sheria.

6. Polisi wasitumike na watawala kukanyaga haki za watu wengine. Hasa haki za watu wa chini.

7. Ni muhimu Polisi kuwepo kwenye maandamano ili kuzuia wahalifu wasifanye uhalifu kama wizi, uvunjifu na uharibifu wa mali za wananchi.

8. Kama siku hiyo kuna matukio mawili makubwa ni muhimu Polisi watoe muongozo kuwa watasimama upigaji wa kura na maandamano yawepo barabara fulani na fulani ili iwe rahisi kuyasimamia.

9. Waandamanaji wapo wahalifu kama wapiga kura wahalifu wapo pia.
Ndio maana kwenye upigaji wa kura kubwa matukio mbalimbali ya uhalifu yalishawahi kuripotiwa kama wizi wa kura au maboksi ya kura, ugomvi na kupigana kwenye mchakato wa kupiga na. Kuhesabu kura, n.k.

10. Mhalifu ni mtu yeyote asiyejali haki zake au haki za watu wengine.

11. Polisi pia ambaye anasimamia sheria huwezi juwa mhalifu aidha kwa kutaka sifa, cheo au chuki tuu.

12. Polisi au vyombo ya dola kulinda amani, kusimamia sheria kinyume cha sheria ni uhalifu pia. Kukamata watu bila kufuata sheria ni uhalifu.

13. Kila mtu anaweza uhalifu kwa sababu ni rahisi kufanya uhalifu kuliko kutenda HAKI.
Kwa sababu binadamu kiasili ni mbinafsi na ubinafsi ni chanzo kikuu cha uhalifu.

14. Watawala na vyombo vya Dola wanawajibu wa kutenda haki kama mfano bora wa kuzuia uhalifu.

15. Uhalifu hauzuiwi kwa maneno bali kwa matendo bora kabisa.

16. Nilisema kila mtu ni mhalifu. Kwa sababu kila binadamu ana ubinafsi.
Mhalifu hawezi kumkemea mhalifu mwenzake. Yaani kipofu na kipofu hawawezi kuongozana.

17. Viongozi waliopewa dhamana na watumishi wa ulinzi na usalama ili wakemee na kupambana na uhalifu itawapasa wao wawe mfano bora.

18. Moja ya faida ya uhalifu ni shortcut ya mafanikio lakini kwa kuzuia wengine.
Yaani ili ufanikiwe chapuchapu basi uhalifu ndio best way.

19. Shemu utakayotumia miaka saba ili ufike kwenye uhalifu utatumia mwaka mmoja.
Kwa sababu utakuwa umezuia watu kadhaa wasifike kule wanakoenda na wewe unafika badala yao. Unachukua haki zao.

20. Uhalifu unaendana na uvivu pia, kutokuwa mchapakazi.
Fikiria mtu anafikiri mpaka nimtongoze, anizungushe, mara nimhudumie, sijui blahblah! Wooy bora nikabake tuu.

21. Kwenye siasa uhalifu wa kiuchaguzi.
Mtu anaona kuliko nianze iupambaq jukwaani, nishawishi watu. Mpinzani wangu naye anafanya hivyohivyo. Wooy! Ngoja ni mfanyie hila na kumzuia ili niwe pekeangu au wasimamizi wanipendelee mimi

22. Hoja za waandamanaji nyingi zina mashiko. Chache kama kupindua serikali hazina mashiko hazina tofauti kabisa na wanaoteka na kufanya mauaji.

23. Nimeona nguvu kubwa imetumika kuzuia maandamano, kuhamasisha amani. Hiyo nguvu ni muhimu itumike baada ya uchaguzi kukemea tabia za ajabu ajabu ndani ya nchi yetu.
Ikiwemo tabia ya kulamba watu miguu

24. Tabia ya kulamba watawala miguu ikishamiri mpaka sehemu nyeti kama vyombo vya dola, vyombo vya. Mahakama, bunge na watumishi wa serikali au huduma za kijamii taifa litakuwa kwenye hali mbaya sana.

25. Polisi muadilifu na mwenye nidhamu power yake ipo kwenye kufuata sheria ya kazi yake, wajibu na majukumu yake ya msingi na sio kufuata kauli ya mtu au viongozi wa kisiasa.

26. Viongozi wa kisiasa wengi wao sio mapolisi wala askari hivyo hawajui ethics za kazi za uaskari.
Halikadhalika wananchi wengi sio mapolisi wala sio askari. Hivyo wanaweza wasijue ethics za uaskari. Ni jukumu la askari kufuata ethics za kazi yake bila kumpendelea mtawala wala mwananchi.

27. Ukifika hospitalini Daktari hafuati maelekezo yako pale anapokupa matibabu. Baada ya taking patient history na kufanya Dayoginaizi Matibabu yatatoka kwa dokta sio kwa mgonjwa.
Hii pia ni kwa maaskari. Askari ni tabibu wa mambo ya ulinzi na usalama.

Nawatakia jumapili njema.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
bro mbona hueleweki mara unakatisha tamaa waandamanaji we upo upande gani
 
Wewe tushakupuuza. Zamani nilikuwa nakuona kichwa kumbe unaenda na upepo.
 
Wakati ulipokuwa unanion kichwa kipi nilifaidi kutoka kwako. Wewe si ndio ulikuwa unafaidi kutoka kwangu ndio maana uliniona kichwa?
 
Watakusikia iwapo mwenye kuwawajibisha ni chura Tena aliye kiziwi?
 
Kwani waandamanaji wameshatoa taarifa Maandamano yao yataanzia na kuishia wapi ili wapewe huo ulinzi!?
 
Back
Top Bottom